Kwanini Kombe la Dunia la mwaka huu halina amsha amsha kama Makombe ya Dunia yaliyopita?

Kwanini Kombe la Dunia la mwaka huu halina amsha amsha kama Makombe ya Dunia yaliyopita?

Themann

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2022
Posts
3,842
Reaction score
16,058
Unadhani kwanini Kombe la Dunia la mwaka huu halina amsha amsha kama Makombe ya Dunia yaliyo pita kama 2002, 2006, 2010?

20221021_083102.jpg
 
Kwa watoto mbona lina amsha sana tu
 
1. Kuna Kombe jingine linagombaniwa Ukraine
2. Huko ulaya watu wanaandamana Kwa ugumu wa maisha nani atawaza Kombe la dunia?
3.Qatal Kombe la dunia lilipelekwa kibiashara kama lilivyoletwa Africa kisasa ila wenye income ya kulishuhudia wachache
4.
 
Naona sabb mojawapo ni media za kufanya promo nyingi za wazungu sasa kwasabb haya mashindano walitoa hongo kuyaandaa sasa wapambane
Fack kabisa kombe la Dunia la Qatar ndio lilipelekea had Raisi wa zamani wa FIFA akaingia mgogoro na waingireza maana waingireza waliamini baada ya South Africa wao ndio walikua wanaanda ila walipigwa chini kilichotokea Sasa ni kumfanyia fitina blatter had akachomoka FIFA Kifupi waingireza ndio ma master wa kufanya promotion hasa kweny mamb ya mpira ni kama wameamua kuacha waarabu wapambane wenyewe
 
But Kwa taarifa tu...tiketi zote zimeshauzwa...booking za hotelKwa sasa ni zaidi ya asilimia 90 mpaka waarabu wanakodi macruizer kuwa mbadala WA hotel...kiufupi sema world cup haina mvuto huku kwetu Africa lakini at general world bado inatazamiwa kuwa kubwa...
 
Fack kabisa kombe la Dunia la Qatar ndio lilipelekea had Raisi wa zamani wa FIFA akaingia mgogoro na waingireza maana waingireza waliamini baada ya South Africa wao ndio walikua wanaanda ila walipigwa chini kilichotokea Sasa ni kumfanyia fitina blatter had akachomoka FIFA Kifupi waingireza ndio ma master wa kufanya promotion hasa kweny mamb ya mpira ni kama wameamua kuacha waarabu wapambane wenyewe
Lakin tusiwalaumu sana hii ni bznz kwahio kila mtu apambane kuuza kitu chake
 
Back
Top Bottom