jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Wenye tiketi mkononi mbona tunaona inavutia na amsha amsha kibao. Mkuu kama hainyeshi kwako kwa jirani inakunya.Unadhani kwanini Kombe la Dunia la mwaka huu halina amsha amsha kama Makombe ya Dunia yaliyo pita kama 2002, 2006, 2010?
View attachment 2393448
Ulichoandika sio kweli, kwa ujumla WC za hivi karibuni zimepoteza mvuto ndiomaana mtoa mada kalinganisha na WC za 2002, 2006 na 2010, hakulinganisha na Wc za 2014 na 2018 kwasababu nazo hazikuwa na mvuto wowotePromo ni ndogo sana..waarabu hawawez kufanya promo kwenye mambo hayo..
Vile vile dunia kama imesusa nchi za kiaarabu...
Asante umeliona Hilo mkuu kiukweli WC imepoteza kabisa mvuto Yani imezidiwa Hadi na UEFA na ligi zingine sielewi shida ipo wapi.Ulichoandika sio kweli, kwa ujumla WC za hivi karibuni zimepoteza mvuto ndiomaana mtoa mada kalinganisha na WC za 2002, 2006 na 2010, hakulinganisha na Wc za 2014 na 2018 kwasababu nazo hazikuwa na mvuto wowote
Kweli kukataza homosexuality na pombe lazima wawe wa hovyo maana dini ya wazungu ushenzi kama huo wanaita haki za binadamu.Waarabu! Iyo jamii ni jamii ya hovyo sana duniani
Wao uchumi wao haujaguswa, maisha yao si magumu kama wenzao wa France na Uingereza?izo ni karatasi tu, ngoja waspanyola, wabrazil,wareno,wafaransa na vichaa wa mjin liverpool UK waanze kuingia hapo mjin watajua hawajui[emoji16]
Wametega kipindi Cha baridi ndo mwez 11, miezi mingne Kuna joto kali. Tisa kumi walikosea kupeleka final qatarFifa wabadilishe ratiba saizi watu wako bize na EUFA na ligi za ndanii wanamenyana kwanini wasingeweka kipindi cha mapumziko kama kipindi cha mwanzo
Sasa UEFA si kitu Cha kila siku kimeshajenga mizizi. World cup after four years hata vibanda umiza mechi za mwanzo hazinaga Watu hadi mitoano ianzeHata ukinunua hakuna mvuto UEFA ina amsha kuliko
Lakini kitu kinachofanyika kila baada ya miaka 4 sindokilitakiwa kimisiwe kuliko kinachofanyika mala kwa malaSasa UEFA si kitu Cha kila siku kimeshajenga mizizi. World cup after four years hata vibanda umiza mechi za mwanzo hazinaga Watu hadi mitoano ianze
pesa tu itapatikana, lakin. ufuska lazima uwepoWao uchumi wao haujaguswa, maisha yao si magumu kama wenzao wa France na Uingereza?
Vv
Sasa kwanini waling'ang'ania kuandaa si wangewachia wenyewe wanayoyaweza, au ndiyo kujikosha ili dunia ijue kwamba si wabaguzi!Promo ni ndogo sana..waarabu hawawez kufanya promo kwenye mambo hayo..
Vile vile dunia kama imesusa nchi za kiaarabu...
Eeeh kumbe mwaka huu Kuna kombe la duniaUnadhani kwanini Kombe la Dunia la mwaka huu halina amsha amsha kama Makombe ya Dunia yaliyo pita kama 2002, 2006, 2010?
View attachment 2393448