Kwanini Kombe la Dunia la mwaka huu halina amsha amsha kama Makombe ya Dunia yaliyopita?

Kwanini Kombe la Dunia la mwaka huu halina amsha amsha kama Makombe ya Dunia yaliyopita?

Dunia hasa Europe wanapambana na vita vya mrusi.

Pili waarabu wanajifanya hawajui bata sheria kibao kumbe unafiki tu mtupu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Promo ni ndogo sana..waarabu hawawez kufanya promo kwenye mambo hayo..

Vile vile dunia kama imesusa nchi za kiaarabu...
Ulichoandika sio kweli, kwa ujumla WC za hivi karibuni zimepoteza mvuto ndiomaana mtoa mada kalinganisha na WC za 2002, 2006 na 2010, hakulinganisha na Wc za 2014 na 2018 kwasababu nazo hazikuwa na mvuto wowote
 
Ulichoandika sio kweli, kwa ujumla WC za hivi karibuni zimepoteza mvuto ndiomaana mtoa mada kalinganisha na WC za 2002, 2006 na 2010, hakulinganisha na Wc za 2014 na 2018 kwasababu nazo hazikuwa na mvuto wowote
Asante umeliona Hilo mkuu kiukweli WC imepoteza kabisa mvuto Yani imezidiwa Hadi na UEFA na ligi zingine sielewi shida ipo wapi.
 
Hakuna mvuto wa mpira ( siku izi mpira umekuwa wa maelekezo sana) kuliko mbinu za mchezaji binafsi

Hakuna vitu kama kanzu , chenga na udambwi udambwi, mchezaji akipata tu mpira ni pass , hakuna wapiga miwa kama roberto carlos


Zinadine ( zizu)
Ronadinho( gaucho)
Roberto
Etoo

Siku izi kila nyumba ina tv

Hakuna kipya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuporomoka kwa vipaji. Mimi nimeshuhudia kombe la dunia 1994 lilikuwa limesheni wachezaji wenye vipaji kila nchi hata underdogs. Vipaji vimeporomoka kiasi kwamba mchezaji Bora wa dunia anapewa sio mwenye kipaji Bali aliyeongoza timu ku chukua makombe mengi.
 
Nadhani utandawazi pia umechangia sasa hivi kila kitu kinachoendelea unaona kwenye mtandao huo mwaka 2010 globalization ilikuwa haijashika kasi kama sasa hvi hvyo watu walikuwa na shauku kuwaona wachezaji na kufuatilia sasa hata taarifa ya habari tu wengine hawaangalii maana kila kitu kipo kiganjani ila naona kuna wapuuzi wameshaanza kuingiza mambo ya dini kwa hyo Qatar kukataa ushoga na pombe ndo inasababisha kombe la dunia lipoe kweli ile dini nyingine inasaport ushoga na ushenzi kwenye jamii.
 
izo ni karatasi tu, ngoja waspanyola, wabrazil,wareno,wafaransa na vichaa wa mjin liverpool UK waanze kuingia hapo mjin watajua hawajui[emoji16]
Wao uchumi wao haujaguswa, maisha yao si magumu kama wenzao wa France na Uingereza?

Vv
 
Wa
Fifa wabadilishe ratiba saizi watu wako bize na EUFA na ligi za ndanii wanamenyana kwanini wasingeweka kipindi cha mapumziko kama kipindi cha mwanzo
Wametega kipindi Cha baridi ndo mwez 11, miezi mingne Kuna joto kali. Tisa kumi walikosea kupeleka final qatar
 
Al habib habib tukutane Qatar وینیتثقتثتزز ککطکطککطکگسکستکککسنک
Iran tutawapiga us mpka watuwekee vikwazo [emoji1130][emoji1130][emoji1130]
 
Sasa UEFA si kitu Cha kila siku kimeshajenga mizizi. World cup after four years hata vibanda umiza mechi za mwanzo hazinaga Watu hadi mitoano ianze
Lakini kitu kinachofanyika kila baada ya miaka 4 sindokilitakiwa kimisiwe kuliko kinachofanyika mala kwa mala
 
Promo ni ndogo sana..waarabu hawawez kufanya promo kwenye mambo hayo..

Vile vile dunia kama imesusa nchi za kiaarabu...
Sasa kwanini waling'ang'ania kuandaa si wangewachia wenyewe wanayoyaweza, au ndiyo kujikosha ili dunia ijue kwamba si wabaguzi!
 
Back
Top Bottom