Kwanini Konyagi za sasa hazileweshi kama zamani

Sasa kama hunywi pombe Wala huvuti bangi we umejuaje kwamba bangi Ina stimu au unatuchora tu๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Nimeishi na wavuta bangi ile experience waipatayo ndo niliyoipata baada ya kunywa pombe, na hakuna nilicho enjoy
 
Sasa hiyo stimu si hata kwenye bangi imo? Sasa bangi inautamu gani?

Ungesema pombe sio tamu bali inakufanya usizi ningekuelewa
Utamu wa pombe ni stimu,Sasa sio tamu kivipi kama ambavyo ilivyo utamu wa limao ni uchachu wake
 
Nyie kunyweni pombe kali, serikali haiwezi kushindwa kujenga mortuary za kutosha, na mafundi seremala hawawezi kushindwa kuchonga majeneza.
Ila ndugu jamaa na marafiki watashindwa kutoa pesa kupambania figo na ini zako zitakapo feli, kwahio itabidi ufe tu
 
Kwanini Konyagi ya sasa mtu Okinawa Halewi Tofauti na zamani.

Washauri wa figo kaeni pembeni.

Walokole mtaenda nyie mbinguni.
Maini yamesha kufa ndio maana husikii kilevi
Na hayana dayalisisi kama figo, tunasubiri kukuzika tu , kwisha habari yako
 
Nina bima ya kufanyiwa dialysis bure wala usijari
 
Wazee wa Code

Kweli wewe tester mzee baba๐Ÿคฃ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ