Bullshit
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,369
- 1,641
Kusema ukweli mimi napenda kubet zaidi na nimependzi wa kubet magoli.
Vile vile mimi Nani is hisa, ila hisa ndo ilianza kitambo kabla ya kubet ila kubet napenda sana kuliko kununua hisa.
Shida inakujua ukimwambia mtu una bet anaona unafanya jambo la ajabu yaan anakushangaa kwanini una bet ila nikimwambia nimenunua hisa za kampuni fulani ananiona mtu mwenye akili na malengo na maisha yangu.
Sasa mimi sijawah kuona tofauti ya kubet na kunua hisa maana lengo langu ni moja la kuweka pesa ila nipate faida, na kote kuna hasara, na kote unaweza kuweka ukapoteza .
Kuna watu najua miaka ya zaman walinunua hisa makampuni fulani saiv hizo kampuni hata dse hazionekani tena Mara ya mwisho ni 2023 kuziona.
Kubet kwenye mechi kumi naweza kupteza moja. Nikiweka $500 kwenye mechi moja naweka goli 2 nina uhakika wa kupata au $600 $700 ndani ya dkk 20-90. Mechi kali za uingereza kunipa hasara ni ngumi.
Hisa soko lake nimeanza kuchangamka mwaka jana na mwaka huu ila kule labda uwekekezi ma milioni kupata faida kidogo sana. Yaani mwaka mmoja CRDB utapa Tsh 67 kwa mwaka 😁😁😁. Labda tu siku hizi ndo watu wanafaidi na ongezeko la thaman.
Hisa ikishuka watu watapanic na kubet ukiliwa utapanic sasa tofauti nini?