Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Jamani leo niko wilaya ya Kilosa nimepanga nyumba nzima ya peke yangu hapa Kilosa mjini mtaa wa Uhindini. Sasa maji yanatoka nje hapa kwangu usiku huu na kuna wanawake wawili wanachota maji kwa zamu mmoja anaenda mmoja anabaki, tena nje ya dirisha langu ndio kuna bomba.
Sasa namsikia kabisa shetani ananishauri nikachote maji nje wakati mimi nina bomba la ndani mpaka naogea shawa.
Jamani kiukweli maji yanayotoka usiku wa manane yanachangamoto kijinsia.
Naamini huyu shetani atashinda naomba mniombee sana.
Mbarikiwe!