Aliamua kuvuka barabara kwa sababu hali halisi ilimtaka avuke barabara kwenda kukutana maisha halisi yanayomfaa. Hakuna haja ya kung'ang'ania sehemu au mazingira yanayokukaba wakati kuna sehemu unaiona na uwezo kufanya kitu kizuri huko unapokuangalia upo. UHURU WA KUFIKIRI NI UTAJIRI WA KILA MMOJA, UNAFIKIRIA KWA AJILI YA NINI NA NANI