Kwanini Kuku alivuka barabara?

Kwanini Kuku alivuka barabara?

Status
Not open for further replies.
...sababu mwenda tezi na omo marejeo ngamani!
 
Aliamua kuvuka barabara kwa sababu hali halisi ilimtaka avuke barabara kwenda kukutana maisha halisi yanayomfaa. Hakuna haja ya kung'ang'ania sehemu au mazingira yanayokukaba wakati kuna sehemu unaiona na uwezo kufanya kitu kizuri huko unapokuangalia upo.
UHURU WA KUFIKIRI NI UTAJIRI WA KILA MMOJA, UNAFIKIRIA KWA AJILI YA NINI NA NANI
 
Kuku huyu kuku gani,,,, wa kienyeji au kuku wa wanaoitwa wa kisasa. Maana hawa wa kisasa hata kutembea tabu ati,,,, tujuzeni ni wa aina gani?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom