marcoveratti
JF-Expert Member
- Sep 21, 2017
- 1,019
- 1,824
Kuna maswali mepesi yenye majubu magumu sana, hasa yale yanayo uskana na nature ,
Maswali kama Binadamu alitokea wapi au Dunia uli anzaje, haya ni maswali magumu yenye majibu magumu au hayana kabisa,
Kama utapata muda wa kufuatialia viumbe/wanyama hawa tunao wafuga majumbani basi utaona huwa wana tabia za kufanana na za kushangaza,,
moja wapo ni tabia hizi ni ile ya kuku kupenda kuvuka barabara
Kama inavyo eleweka kuwa kuku hawana utashi na ni moja ya viumbe wenye IQ ndogo mnoo?!
Lakini tabia yao ya kuvuka barabara imekua iki ibua sana maswali KWANINI KUKU ANAVUKA BARABARA,,?
Baadhi ya watafiti za wana zuoni wa masuala ya viumbe hai walisha fanya tafiti za na kuja na majibu magumu kwa swali rahisi kama hili.
Wapo walio sema kua oengine kuku huwa wanavuka barabara kwasababu huwa na maongo wa mawazo kwakua kuna wakati huwa wanajua nini kinafata kwenye maisha yao(kuliwa) hivyo huvuka barabara ili kuweka rehani maisha yao ambayo wanaona hayana maana tena kwakua yataishia kuwa chakula cha binamu.
Morgan Ephraim PHD wa tiba ya wanyama wafugwao wa chuo cha Calfonia alifanya tafitia yake na kuja na majibu kuwa kuku wanatabia ya kutana kuonesha kuwa wanaweza jambo fulani, hivyo katika mazingira mengi wanayo ishi kuku barabara ndio kitu cha hatari zaidi kwao, hivyo walio wengi huvuka ili kuonesha umwamba wao!.
je unadhani kwanini kuku huvuka barabara?