Kwanini kuku anavuka barabara?

Kwanini kuku anavuka barabara?

marcoveratti

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2017
Posts
1,019
Reaction score
1,824
Kuna maswali mepesi yenye majubu magumu sana, hasa yale yanayo uskana na nature ,

Maswali kama Binadamu alitokea wapi au Dunia uli anzaje, haya ni maswali magumu yenye majibu magumu au hayana kabisa,

Kama utapata muda wa kufuatialia viumbe/wanyama hawa tunao wafuga majumbani basi utaona huwa wana tabia za kufanana na za kushangaza,,

moja wapo ni tabia hizi ni ile ya kuku kupenda kuvuka barabara

Kama inavyo eleweka kuwa kuku hawana utashi na ni moja ya viumbe wenye IQ ndogo mnoo?!

Lakini tabia yao ya kuvuka barabara imekua iki ibua sana maswali KWANINI KUKU ANAVUKA BARABARA,,?

Baadhi ya watafiti za wana zuoni wa masuala ya viumbe hai walisha fanya tafiti za na kuja na majibu magumu kwa swali rahisi kama hili.

Wapo walio sema kua oengine kuku huwa wanavuka barabara kwasababu huwa na maongo wa mawazo kwakua kuna wakati huwa wanajua nini kinafata kwenye maisha yao(kuliwa) hivyo huvuka barabara ili kuweka rehani maisha yao ambayo wanaona hayana maana tena kwakua yataishia kuwa chakula cha binamu.

Morgan Ephraim PHD wa tiba ya wanyama wafugwao wa chuo cha Calfonia alifanya tafitia yake na kuja na majibu kuwa kuku wanatabia ya kutana kuonesha kuwa wanaweza jambo fulani, hivyo katika mazingira mengi wanayo ishi kuku barabara ndio kitu cha hatari zaidi kwao, hivyo walio wengi huvuka ili kuonesha umwamba wao!.

je unadhani kwanini kuku huvuka barabara?
 
ushajiuliza pia kwanin Bata akiwa anavuka Barabara gari lazima zisame dereva yupo tayari agonge mbwa ila akiona Bata anavunga barabara ananywea Bata na watoto wake watavuka bila hata shida tena wakiwa wamepanga mstari mama katangulia watoto wapo Nyuma
 
Hata kwa kondoo pia upande wa wanyama bora ugonge mbuzi au Ng'ombe na si kondoo
 
ushajiuliza pia kwanin Bata akiwa anavuka Barabara gari lazima zisame dereva yupo tayari agonge mbwa ila akiona Bata anavunga barabara ananywea Bata na watoto wake watavuka bila hata shida tena wakiwa wamepanga mstari mama katangulia watoto wapo Nyuma
Ni kesi kubwa sana kugonga bata bosi,
 
Mbuzi anatambea barabarani na hagongwi na anavuka barabara ila inachoinishangaza mbuzi anaweza kaa juu ya kichanja cha semi tokea mwanza adi dar bila kudondoka
 
Kuna maswali mepesi yenye majubu magumu sana, hasa yale yanayo uskana na nature ,

Maswali kama Binadamu alitokea wapi au Dunia uli anzaje, haya ni maswali magumu yenye majibu magumu au hayana kabisa,

Kama utapata muda wa kufuatialia viumbe/wanyama hawa tunao wafuga majumbani basi utaona huwa wana tabia za kufanana na za kushangaza,,

moja wapo ni tabia hizi ni ile ya kuku kupenda kuvuka barabara

Kama inavyo eleweka kuwa kuku hawana utashi na ni moja ya viumbe wenye IQ ndogo mnoo?!

Lakini tabia yao ya kuvuka barabara imekua iki ibua sana maswali KWANINI KUKU ANAVUKA BARABARA,,?

Baadhi ya watafiti za wana zuoni wa masuala ya viumbe hai walisha fanya tafiti za na kuja na majibu magumu kwa swali rahisi kama hili.

Wapo walio sema kua oengine kuku huwa wanavuka barabara kwasababu huwa na maongo wa mawazo kwakua kuna wakati huwa wanajua nini kinafata kwenye maisha yao(kuliwa) hivyo huvuka barabara ili kuweka rehani maisha yao ambayo wanaona hayana maana tena kwakua yataishia kuwa chakula cha binamu.

Morgan Ephraim PHD wa tiba ya wanyama wafugwao wa chuo cha Calfonia alifanya tafitia yake na kuja na majibu kuwa kuku wanatabia ya kutana kuonesha kuwa wanaweza jambo fulani, hivyo katika mazingira mengi wanayo ishi kuku barabara ndio kitu cha hatari zaidi kwao, hivyo walio wengi huvuka ili kuonesha umwamba wao!.

je unadhani kwanini kuku huvuka barabara?
chai
 
Kuku hutafuta chakula popote pale hata kando ya barabara

Sasa kuku wanatabia wakipata hofu kama yupo upande wa pili wa barabara kutokea kwao hukimbilia kuvuka kwenda upande wa nyumbani kwao, hapo ndio hukoseaga timing na kugongwa
 
Unaonaje ukapewa tuzo ya muuliza swali la kipuuzi zaidi ndani ya mwaka 2024?
 
Sasa umesema wanajua kuwa wataliwa na binadam halafu unasema wana IQ ndogo
 
Back
Top Bottom