Tabia hii imekithiri na mamlaka hazikemei.
Wanaoongoza kwa plate namba za kugushi ni Polisi tena kwenye gari zao binafsi sio za ofisi.
Leo unaikuta na namba ya kenya, wiki ijayo chassis number, mwezi ujao namba hazieleweki.
Kuna wakati unakutana na gari ya mwaka 2024 ila nina namba A series za miaka ya nyuma sana. Tunajua watu wa usalama wanatikiwa kuwa na namba zao, askari wa misitu wana namba zao nk. Kwanini namba hizi zinatumika kwa gari za watu binafsi.
Hapa ndipo utekaji ulipofichiwa
Mfano kuna KLUGER iko mwanza miaka yote utaikuta na namba za kenya na hakuna sabbu ya kufanya hivyo.
Sheria ianzie kwa watumishi wa Serikali hasa polisi.