DOKEZO Kwanini kuna baadhi ya watu wanaweka plate number zisizoruhusiwa kwenye magari yao?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kila mtu ana sharubu sasa hivi huku njiani tumechoka na vingora na kujifanya wanawahi wanakoenda kwa kuvunja sheria za barabarani
 
tulieni watu wapo kazini unataka ujue kila kitu ili nini?
Huu ni ushamba wa Tanzania tu. Nchi zilizoendelea hazina ujinga huu. Askari wa kawaida anataka kujidai usalama. Wengine wanafanya magendo ipo watajulikana.
 
ndugu acha kujifanya mjuaji , nchi zote unaweza kuuta gari flani likimfuatilia mtu au watu flani wanabadilisha badilisha licence plates sometimes wanatumia hata diplomatic plates , askari wa kawaida hawezi ruhusiwa kwa sababu kuna level ukifika wanajua plates zote za kazi maaalum na ngapi zipo wapi ngapi zipo kitengo gani ,

Mfano ofisi ya DC ni kawaida kuwa na plates za kazi maalum sita mpaka kumi , akitaka kufuatilia magendo anaweka ya kiraia anaenda, kuna siku wanawashuku polisi au takukuru wilani wanakula magendo au rushwa anawapoteza maboya anatoa mlingoti anatumia plate ya diplomats, siku kuna lilao cha kamati ya siasa ya wilaya yeye mjumbe anaenda na plate nyingine , akija rais au waziri mkuu anatumia STK tu sio DC au RC kama ni mkuu wa mkoa, nchi ina mambo mengi
 
sasa unaweza kufanya nini sasa? natumia nissan patrol number DFP unaweza kuisimamisha wakati hata RPC wako haigusi ? au ndo mnashindia huku mitandaoni kuleta taharuki tu ? shenzi kabisa shiba ubwabwa ulale bado mdogo
Jeuri yote mshahara laki nne na pesa za dhulma na wizi
 
Hizi ni baadhi tu. Tutaendelea kuzispot ziko nyingi sana.

Usajili wa plates duniani HAKUNA. ( O, I )
IMG_2113.jpeg
IMG_2112.png
 
Hizi ni baadhi tu. Tutaendelea kuzispot ziko nyingi sana.

Usajili wa plates duniani HAKUNA. ( O, I )
Chini ya utawala wa huyu muuaji wa kizazibar utakutana na gari zina 5H -766 ,anacho jua huyu ni kuchamba tuu bichwa jeupeeee kwenye uongozi
 
ndugu acha kujifanya mjuaji , nchi zote unaweza kuuta gari flani likimfuatilia mtu au watu flani wanabadilisha badilisha licence plates sometimes wanatumia hata diplomatic plates , askari wa kawaida hawezi ruhusiwa kwa sababu kuna level ukifika wanajua plates zote za kazi maaalum na ngapi zipo wapi ngapi zipo kitengo gani ,

Mfano ofisi ya DC ni kawaida kuwa na plates za kazi maalum sita mpaka kumi , akitaka kufuatilia magendo anaweka ya kiraia anaenda, kuna siku wanawashuku polisi au takukuru wilani wanakula magendo au rushwa anawapoteza maboya anatoa mlingoti anatumia plate ya diplomats, siku kuna lilao cha kamati ya siasa ya wilaya yeye mjumbe anaenda na plate nyingine , akija rais au waziri mkuu anatumia STK tu sio DC au RC kama ni mkuu wa mkoa, nchi ina mambo mengi
Wewe ndiye mjuaji usiyejua. Hapa tunazungumzia gari binafsi ya askari wa kawaidia kuweka weka namba za hovyo. Au wewe unashirikiana nao kwenye hizo deal zenu haramu? Ndio maana mkistaafu mnakua na hali mbayaaaaaa. Misiba yenu haina watu. Unyanganyi na dhulma vinawatufuna. Karibu tena.
 
Back
Top Bottom