Hilo dogo.....Mimi nikifikiria kifo cha mc pilipili ndo nachoka na pilisi wa tz
Aah Ndio walimuua Pilipili kwa nini?Hilo dogo.....Mimi nikifikiria kifo cha mc pilipili ndo nachoka na pilisi wa tz
Walithibishia kuwa aliuwawa ila adi leo hawasema nani alieua..... Na ushahidi upo clear kabsaAah Ndio walimuua Pilipili kwa nini?
tulieni watu wapo kazini unataka ujue kila kitu ili nini?Ni kosa kuaimamishwa na gari ambayo haitumii namba za Tanzania baadhi ya mikoa nimeona wanaweka hadi DFP kwenye Land Cruiser zao za patrol mpaka unashangaa ukibaki kushangaa wao ndio wanakushangaa wewe kwa ushamba wako kila muhuni anaamua anachoweza kufanya kwa sababu hakuna wa kuweza kuwakemea kuhusu hilo...
Hakuna Amani kama walinda amani wanajificha kwa namba za mashirika ya nje hapa SA gari ya polisi ina namba na kila sehemu mpaka ubavuni imeandikwa polisi polisi,Hawks,Metro ni ngumu kutokuwatambua..
tulieni ndo maana nchi tulivu ukitaka kujua kila kitu utaumiaNi kosa kuaimamishwa na gari ambayo haitumii namba za Tanzania baadhi ya mikoa nimeona wanaweka hadi DFP kwenye Land Cruiser zao za patrol mpaka unashangaa ukibaki kushangaa wao ndio wanakushangaa wewe kwa ushamba wako kila muhuni anaamua anachoweza kufanya kwa sababu hakuna wa kuweza kuwakemea kuhusu hilo...
Hakuna Amani kama walinda amani wanajificha kwa namba za mashirika ya nje hapa SA gari ya polisi ina namba na kila sehemu mpaka ubavuni imeandikwa polisi polisi,Hawks,Metro ni ngumu kutokuwatambua..
Mimi sio wa kutishwa mkuu pimbi mkubwa wewe..tulieni ndo maana nchi tulivu ukitaka kujua kila kitu utaumia
Wezi hao hakuna kazi ya kujificha hivyo na pia mimi sitishwi pimbi wewe...tulieni watu wapo kazini unataka ujue kila kitu ili nini?
hutishwi ila huwezi kubadilisha chochote wewe shiba ubwabwa kisha kalale mambo mazito tuachie tunaojuaMimi sio wa kutishwa mkuu pimbi mkubwa wewe..
sasa unaweza kufanya nini sasa? natumia nissan patrol number DFP unaweza kuisimamisha wakati hata RPC wako haigusi ? au ndo mnashindia huku mitandaoni kuleta taharuki tu ? shenzi kabisa shiba ubwabwa ulale bado mdogoWezi hao hakuna kazi ya kujificha hivyo na pia mimi sitishwi pimbi wewe...
Tafuta wajinga wenzio wa kuwatisha kima wewe...
Ushamba unakusumbua mazee acha utoto huo gari ya Serikali hauna hata mia unatishia wakurungwa daah..sasa unaweza kufanya nini sasa? natumia nissan patrol number DFP unaweza kuisimamisha wakati hata RPC wako haigusi ? au ndo mnashindia huku mitandaoni kuleta taharuki tu ? shenzi kabisa shiba ubwabwa ulale bado mdogo
utaambiwa wapo kazini kutekeleza majukumu yao..kuna waliojuu ya sheria kwahyo tuliza mshono.Tabia hii imekithiri na mamlaka hazikemei.
Wanaoongoza kwa plate namba za kugushi ni Polisi tena kwenye gari zao binafsi sio za ofisi.
Leo unaikuta na namba ya kenya, wiki ijayo chassis number, mwezi ujao namba hazieleweki.
Kuna wakati unakutana na gari ya mwaka 2024 ila nina namba A series za miaka ya nyuma sana. Tunajua watu wa usalama wanatikiwa kuwa na namba zao, askari wa misitu wana namba zao nk. Kwanini namba hizi zinatumika kwa gari za watu binafsi.
Hapa ndipo utekaji ulipofichiwa
Mfano kuna KLUGER iko mwanza miaka yote utaikuta na namba za kenya na hakuna sabbu ya kufanya hivyo.
Sheria ianzie kwa watumishi wa Serikali hasa polisi.