binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
By vinyanduzi anamaanisha uke (vagina)Ndo maana namwambia binti kiziwi kuna visimi vimekomaa na vina sugu
Huyu ametoa sababu ya msingi, kuwa kama ke inatumika na watu wawili watatu kwa siku sio rahisi huyo KE akawa na hisia tena.
Sababu uliyoitoa wewe niliihoji mimi, nilitamani nielewe kitu gani Ke na Ke wanaviweza, Me hawezi??
Anyways kuna vitu labda siwezi kuelewa sababu si muhusika.