Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Life style ya sasa ndo sababu, ulaji, uzazi wa mpango, sindano vidonge njiti p2, utoaji mimba, ujasiriamwili hizi ni external factors zinazosababisha ukavu,, wapo wachache mnaoona wanaishi kizamani hao ndo bado wanateleza km kambale topeni,
Usagaji na kujichua unasingiziwa tu
Usagaji na kujichua unasingiziwa tu