Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Hizo pia zinaweza kuwa zinahusika mimi nimetaja hiyo moja ninayoijua. Mwanaume unayempenda hata ukisikia sauti yake tu [emoji4][emoji4]Mkuu, akiwa na stress za maisha je? Manake na nyie saivi mnapambana tu kama wanaume, hisia hazipotei ukiwa huna kazi, madeni, mambo hayaendi?
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app