Joyce joyce
JF-Expert Member
- May 23, 2020
- 457
- 1,974
Wakuu, nimekuwa na ndugu wengi Sana jeshini kuna kaka zangu walifikia had ubrigedia wengi tu, wengne ni makanari wengne hawana vyeo wapo wapo tu, sasa ninachoshangaa kuna wengne wamestaafu wakiwa na miaka 47 wakiwa na cheo cha luten yani nyota mbili Lakini wengne wamestaafu wakiwa na above 53 wakiwa mabrigedia ila kuna wengne wako 50,above na hawana Nyota hata moja Lakini hawajastaafu
Plz anaelewa Kwa nini iwe hivyo anifafanulie wakuu
Plz anaelewa Kwa nini iwe hivyo anifafanulie wakuu