Kwahiyo wenzako wanakuja wanakupita kama umesimama vileKutoka luteni kwenda kapteni kuna kozi ya porini na mitihani mizito ya darasani. Ukifeli hapo hausogei mbele, wengi wanavutwa shati hapo.
Lakini kunaweza pia kuwapo sababu ndogondogo kama afya na nidhamu ya ofisa.