Joyce joyce
JF-Expert Member
- May 23, 2020
- 457
- 1,974
Waulize watakupa majibu...kila cheo kina umri na majukumu yake na utaratibu wake wa kukipata...mwisho wa kunukuuWakuu, nimekuwa na ndugu wengi Sana jeshini kuna kaka zangu walifikia had ubrigedia wengi tu, wengne ni makanari wengne hawana vyeo wapo wapo tu, sasa ninachoshangaa kuna wengne wamestaafu wakiwa na miaka 47 wakiwa na cheo cha luten yani nyota mbili Lakini wengne wamestaafu wakiwa na above 53 wakiwa mabrigedia ila kuna wengne wako 50,above na hawana Nyota hata moja Lakini hawajastaafu
Plz anaelewa Kwa nini iwe hivyo anifafanulie wakuu
Mimi nahisi ungewauliza hao hao, ungepata majibu mazuri zaidi, kuliko humu, mkuu
Hana ndugu askari huyoSasa mtu una ndugu kibao huko jeshini unakuja kuuliza hapa jamvini? Kwanini usiulize hao ndugu au ndugu lawama?
Hawapo humu?
Nikujibu kifupi!Wakuu, nimekuwa na ndugu wengi Sana jeshini kuna kaka zangu walifikia had ubrigedia wengi tu, wengne ni makanari wengne hawana vyeo wapo wapo tu, sasa ninachoshangaa kuna wengne wamestaafu wakiwa na miaka 47 wakiwa na cheo cha luten yani nyota mbili Lakini wengne wamestaafu wakiwa na above 53 wakiwa mabrigedia ila kuna wengne wako 50,above na hawana Nyota hata moja Lakini hawajastaafu
Plz anaelewa Kwa nini iwe hivyo anifafanulie wakuu
Nikujibu kifupi!
Imepangwa Kihivyo kulingana na Majukumu aliyo nayo mwenye cheo Husika Katika Medani ya vita!
Nikupe mfano kidogo wa nco's!
Kuna anaye itwa kwa jina la utani Vumilia, huyu yuko mstari wa mbele vitani...,(ana V.1begani) kuna anaye itwa Vumilia Vumbi!(huyu ana V.2 begani) Huyu yuko katikati ya vumbi la kina Vumilia ktk medani! Yuko anaeitwa Vumilia Vumbi la Vijana(huyu ana V.3 begani yeye yuko nyuma kwenye vita na kazi yake ni Utawala ni kiungo kati ya walio mstari wa mbele na kambini...
Kifupi!
Mkuu kuna sababu yeyote ya afisa kukwama kwenye luteni wakati JWTZ hupata vyeo kwenye umri mdogo sana?Kwa maofisa kila cheo kina umri wake wa kustaafu kulingana na majukumu ya ofisa husika.
Kwa mfano maofisa wadogo kama luteni wana majukumu ya kuongoza moja kwa moja units za askari kama vile platoon katika uwanja wa vita, hivyo basi wanatakiwa kuwa fit na ndio maana ukikwama kwenye uluteni basi una staafu na hiyo miaka arobaini na kitu.
Mtu kama brigedia generali majukumu yake ni ya kiutawala /uongozi wa juu zaidi (mf brigade commander) kwahiyo kwake cha muhimu sana sio nguvu za kuhimili mikiki ya porini bali ni mipango na uongozi.
Kutoka luteni kwenda kapteni kuna kozi ya porini na mitihani mizito ya darasani. Ukifeli hapo hausogei mbele, wengi wanavutwa shati hapo.Mkuu kuna sababu yeyote ya afisa kukwama kwenye luteni wakati JWTZ hupata vyeo kwenye umri mdogo sana?