Kwahiyo wenzako wanakuja wanakupita kama umesimama vileKutoka luteni kwenda kapteni kuna kozi ya porini na mitihani mizito ya darasani. Ukifeli hapo hausogei mbele, wengi wanavutwa shati hapo.
Lakini kunaweza pia kuwapo sababu ndogondogo kama afya na nidhamu ya ofisa.
NaamKwahiyo wenzako wanakuja wanakupita kama umesimama vile
sasa kama unandugu wengi Jeshini kwa nini usiwaulize wao uje kutuuliza sisi ambao wengi wetu hatuna ndugu Jeshini?Wakuu, nimekuwa na ndugu wengi Sana jeshini kuna kaka zangu walifikia had ubrigedia wengi tu, wengne ni makanari wengne hawana vyeo wapo wapo tu, sasa ninachoshangaa kuna wengne wamestaafu wakiwa na miaka 47 wakiwa na cheo cha luten yani nyota mbili Lakini wengne wamestaafu wakiwa na above 53 wakiwa mabrigedia ila kuna wengne wako 50,above na hawana Nyota hata moja Lakini hawajastaafu
Plz anaelewa Kwa nini iwe hivyo anifafanulie wakuu
Kwanza hatakama tunao mbona wachoyo alafu maringo mengi, tunawangojea wastafu tuone aibu zao.sasa kama unandugu wengi Jeshini kwa nini usiwaulize wao uje kutuuliza sisi ambao wengi wetu hatuna ndugu Jeshini?
Unaweza kutoa mfano kwa kutaja umri halisi wa kustaafu watu kama corporal, sergeant, luteni, captain na brigadier general?Kwa maofisa kila cheo kina umri wake wa kustaafu kulingana na majukumu ya ofisa husika.
Kwa mfano maofisa wadogo kama luteni wana majukumu ya kuongoza moja kwa moja units za askari kama vile platoon katika uwanja wa vita, hivyo basi wanatakiwa kuwa fit na ndio maana ukikwama kwenye uluteni basi una staafu na hiyo miaka arobaini na kitu.
Mtu kama brigedia generali majukumu yake ni ya kiutawala /uongozi wa juu zaidi (mf brigade commander) kwahiyo kwake cha muhimu sana sio nguvu za kuhimili mikiki ya porini bali ni mipango na uongozi.
usikariri mzee, wastani wa maafisa wengi wa jeshi wanapata nyota ya kwanza wanakiwa na miaka 25-28.Mkuu kuna sababu yeyote ya afisa kukwama kwenye luteni wakati JWTZ hupata vyeo kwenye umri mdogo sana?
Kuvaa ya tatu kuna mziki sana?usikariri mzee, wastani wa maafisa wengi wa jeshi wanapata nyota ya kwanza wanakiwa na miaka 25-28.
kimbembe ni hiyo nyota ya tatu au kuivuka hapo ndio msala.maana yake unatakiwa uvae nembokabla hujavuka 45,kitu ambacho ni mtihani. hasa kama mtu wa vimbwanga jeshini.
Lakini afisa si anaruhusiwa kurudia tena na tena kama atashindwa?usikariri mzee, wastani wa maafisa wengi wa jeshi wanapata nyota ya kwanza wanakiwa na miaka 25-28.
kimbembe ni hiyo nyota ya tatu au kuivuka hapo ndio msala.maana yake unatakiwa uvae nembokabla hujavuka 45,kitu ambacho ni mtihani. hasa kama mtu wa vimbwanga jeshini.
Tuliambiwa Mwanri amestaafu ukuu wa mkoa kwasababu ya umri, nafasi yake amepelekwa mwanajeshi ana umri kumzidi Mwanri.Wakuu, nimekuwa na ndugu wengi Sana jeshini kuna kaka zangu walifikia had ubrigedia wengi tu, wengne ni makanari wengne hawana vyeo wapo wapo tu, sasa ninachoshangaa kuna wengne wamestaafu wakiwa na miaka 47 wakiwa na cheo cha luten yani nyota mbili Lakini wengne wamestaafu wakiwa na above 53 wakiwa mabrigedia ila kuna wengne wako 50,above na hawana Nyota hata moja Lakini hawajastaafu
Plz anaelewa Kwa nini iwe hivyo anifafanulie wakuu
Tuliambiwa Mwanri amestaafu ukuu wa mkoa kwasababu ya umri, nafasi yake amepelekwa mwanajeshi ana umri kumzidi Mwanri.
Tuliambiwa Mwanri amestaafu ukuu wa mkoa kwasababu ya umri, nafasi yake amepelekwa mwanajeshi ana umri kumzidi Mwanri.
IMEZUILIWA JUU NA CHINIWaulize watakupa majibu...kila cheo kina umri na majukumu yake na utaratibu wake wa kukipata...mwisho wa kunukuu
IMEZUILIWA