sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Wewe mwenyewe binafsi Mungu Mwenyezi akikuchunuku mtoto mlemavu utajisikiaje?Nasema hivi maana mambo ya aibu ndio huwa tyanakazaniwa kufichwa na ndivyo ilivyo kwa wazazi wenye hawa watoto whuwa hawapendi watoto wao wnye ulemavu kyjuikana ni watoto wao, wanawafungia majumbani huku wakkijificha nyuma ya kivuli cha kuwalinda...
Nilifanikiwa kutembelea shule kadhaa zinazotoa elimu kwa wenye mahitaji maalum!kwa niliowaona, kheri hata kwa uziwi lakini katimilika. Kuna wale ambao labda wana autism yaani anakuwa hatulii, anapiga kelele kila mara yaani kiufupi hajitambui na bado unakuta ...
Mbaya zaidi hata wakipata ajira, wafanyakazi wenzao hawana elimu ya kuishi nao katika mazingira ya kazi.Nilifanikiwa kutembelea shule kadhaa zinazotoa elimu kwa wenye mahitaji maalum!
Sawa elimu ni bure! Lakini mazingira ni duni sana, vitanda na magodoro vimechakaa sana, maji ya shida, chakula hakielezeki...
Mkuu shule zenye unafuu ni zile zenye wafadhili maana huwa wanatoa pesa kiasi kwa ajili ya kuboresha mazingira.Nilifanikiwa kutembelea shule kadhaa zinazotoa elimu kwa wenye mahitaji maalum!
Sawa elimu ni bure! Lakini mazingira ni duni sana, vitanda na magodoro vimechakaa sana, maji ya shida, chakula hakielezeki....
kwa niliowaona, kheri hata kwa uziwi lakini katimilika. Kuna wale ambao labda wana autism yaani anakuwa hatulii, anapiga kelele kila mara yaani kiufupi hajitambui na bado unakuta ana ulemavu wa viungo unaohitaji full support ya mzazi.. Ni kazi sana na wachache wanaweza hata kuwa na fahari ya kuwa na mtoto wa namna hiyo
wenye kipato kiasi huishia kuwapeleka shule at least wawe na muda mchache wa kuwaangalia kuliko wakishinda nao maana hata kazi hawawezi kufanya
ila katika hizi cases ndio nilitambua kuwa mama sio kitu cha kawaida kutokea duniani. Mama ni mtu extraordinary, anaweza kukupenda hata kama dunia nzima haioni sababu hata moja ya kukupenda na kukushikilia. Watakupigania na kukupenda hadi tone la mwisho. Respect sana kwa wamama wote
Point yako ni kweli. Inategemes kama mtoto unaweza mchukua , mfano akili haipo vizuri, epilepsy attacks, kujiendea choo nk. Inakuwa ngumu kumchukua kila mahaliNasema hivi maana mambo ya aibu ndio huwa tuanakazania kuyaficha na ndivyo ilivyo kwa wazazi wenye hawa watoto huwa hawapendi watoto wao wenye ulemavu kujulikana ni watoto wao, wanawafungia majumbani huku wakijificha nyuma ya kivuli cha kuwalinda.
yani mtoto anachukuliwa kama mzigo flani hivi, niliwahi kushuhudia laivu bila chenga hospitali flani mtoto kazaliwa na ulemavu wa ngozi, baba wa mtoto alikana mtoto huyo sio wake na ndio ukawa mwisho wa mahusiano na mzazi mwenzake.
na hilo deni huwa halilipiki mkuuChini ya jua hakuna kitu Cha thamani kama kuzaliwa na wazazi wanaojua wajibu na majukumu yao.......
Mpaka unafikia utu uzima na kujitegemea nafsi yako inakuambia kuwa una deni dhidi ya wazazi wako........
Lengo sio kulipa bali litakufanya uwe karibu na kuwaheshimu wazazi wako.....na hilo deni huwa halilipiki mkuu
huwezi ilipa sacrifise ya mzazi zaidi ya kuwafanya waishi pasipo kujuta au kuhuzunika sababu ya uwepo wako katika maisha yao