Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
Nyie ni wale wale wakoraKwani sasa huhesabiwaje?
Utaratibu wa tume upo sawa,nashangaa wapinzani wanavyodai tume huru.
Kiapo?Sawa viongozi wote pia hula viapo na bado wanashiriki matendo yaliyo kinyume na viapo vyao.Huko umefika mbali sana. Kikubwa ni kuwa kabla tu ya uchaguzi, wasimamizi wa uchaguzi hula KIAPO CHA KUTUNZA SIRI ZA UCHAGUZI.
Ndio,Babu Hashimu Spunda Rungwe atashinda kwa kishindo.Kwa upinzani wa kutegemea mgombea atokee chama tawala unatarajia nini? Kwamba upinzani utashinda?
Kiapo?Sawa viongozi wote pia hula viapo na bado wanashiriki matendo yaliyo kinyume na viapo vyao.
Watawala hawa hawajali viapo,wamevunja viapo Vingi kuanzia ndoa zao,imani zao za dini,hata viongozi wa dini nao wanavunja viapo vyao sembuse kazi ya uchaguzi ambayo siyo ya kudumu?
Ulichojaaliwa ni uwezo wako mkubwa wa kujitoa fahamu.Kwani sasa huhesabiwaje?
Utaratibu wa tume upo sawa,nashangaa wapinzani wanavyodai tume huru.
Ndugu nina uhakika hujawahi kutoka nje ya nchi! kama umetoka basi ni kwenda kama mzigo si kujilipia na kuwa huru! una mawazo mgando ( conservative) kama Nyerere!!NDIO maana nakwambia huwa kuna KIAPO CHA KUTUNZA SIRI. SASA kama uchaguzi una SIRI, nani atakubali kura zihesabiwe hadharani??
Lakini ndio huyo huyo aliyehakikisha anakuwa peke yake. Angekuwa na Membe asingekubali iwe live. Ok inshort WANANCHI Mara nyingi huwa hawaichagui CCM hivyo CCM haiwezi kukubali kuhesabu kura za Urais hadharani. Usishangae kwanini hawataki matokeo ya Urais yahojiwe mahakamaniNdugu nina uhakika hujawahi kutoka nje ya nchi! kama umetoka basi ni kwenda kama mzigo si kujilipia na kuwa huru! una mawazo mgando ( conservative) kama Nyerere!! Magufuli is different! anawaza outside the box ndo maana pale Dodoma walimwambia Mzee kamera ziondolewe tuanze mkutano akauliza Katibu kwani kuna siri gani? nami nakuuliza sisi ndio tumekuja kupiga kura tumemaliza kwanini tulichokifanya sisi nyie wasimamizi mkifanye siri? huu usiri ni upumbavu inafaa ukomeshwe!!
uko sahihi kuwa sisiem wamezuia demokrasia isifanyike ndani mwake, ila mtu mmoja Rais hana athari kubwa kama wabunge 300 na madiwani kama wote nchi nzima!!Lakini ndio huyo huyo aliyehakikisha anakuwa peke yake. Angekuwa na Membe asingekubali iwe live. Ok inshort WANANCHI Mara nyingi huwa hawaichagui CCM hivyo CCM haiwezi kukubali kuhesabu kura za Urais hadharani. Usishangae kwanini hawataki matokeo ya Urais yahojiwe mahakamani
Madiwani wanatangazwa na Mtendaji wa kata (KADA ) Wabunge wanatangazwa na Wakurugenzi (MAKADA) hawa wote ni wa kufuata maelekezo tu.uko sahihi kuwa sisiem wamezuia demokrasia isifanyike ndani mwake, ila mtu mmoja hana athari kubwa kama wabunge 300 na madiwani kama wote nchi nzima!!