Uchaguzi 2020 Kwanini kura za Uchaguzi Mkuu hazihesabiwi hadharani kama za CCM kuchagua wagombea?

Uchaguzi 2020 Kwanini kura za Uchaguzi Mkuu hazihesabiwi hadharani kama za CCM kuchagua wagombea?

Madiwani wanatangazwa na Mtendaji wa kata (KADA ) Wabunge wanatangazwa na Wakurugenzi (MAKADA) hawa wote ni wa kufuata maelekezo tu.
tukihesabu kura vituoni mbele ya wapiga kura na kutangaza matokeo hapo hatutamaliza but tutapunguza tatizo la upangaji matokeo trust me!!
 
tukihesabu kura vituoni mbele ya wapiga kura na kutangaza matokeo hapo hatutamaliza but tutapunguza tatizo la upangaji matokeo trust me!!
Vituoni ni Mazingaombwe tu Babu. ..Majumuisho yanafanyika ndani ya JIMBO ofisini kwa mkurugenzi. Kura nyepesi kuzitrack ni za udiwani tu.

Huko kwa Mkurugenzi ndio huwa wanaweza kukaa hata siku tatu hadi nne (kunakuwa na NEGOTIATIONS na VITISHO) huku Mkurugenzi akipiga na KUPOKEA simu mbalimbali kuomba mwongozo na kupokea maelekezo. Mara nyingi utasikia "TANGAZA TU HIVYO HIVYO".

Wanaotoboa ni wale ambao huwa WANANCHI hawaondoki wanakaa nje ya kituo kusubiri Mkurugenzi atangaze kitu ambacho MAGUFULI hataruhusu
 
Napendekeza na kura za uchaguzi mkuu kuanzia Udiwani, ubunge na urais zihesabiwe kwa uwazi mbele ya wapiga kura kama wanavyofanya CCM katika kura za urais na ubunge?

Naomba mwaka huu iwe hivyo
Hilo halikubaliki! Unataka uzi huu uondolewe hapa?
 
Napendekeza na kura za uchaguzi mkuu kuanzia Udiwani, ubunge na urais zihesabiwe kwa uwazi mbele ya wapiga kura kama wanavyofanya CCM katika kura za urais na ubunge?

Naomba mwaka huu iwe hivyo
CCM kama NEC, wote wanahesabu kura kisha wanamtangaza wanayempenda wao, hivyo usishangae Makonda akigombea.
 
Back
Top Bottom