tukihesabu kura vituoni mbele ya wapiga kura na kutangaza matokeo hapo hatutamaliza but tutapunguza tatizo la upangaji matokeo trust me!!Madiwani wanatangazwa na Mtendaji wa kata (KADA ) Wabunge wanatangazwa na Wakurugenzi (MAKADA) hawa wote ni wa kufuata maelekezo tu.
Vituoni ni Mazingaombwe tu Babu. ..Majumuisho yanafanyika ndani ya JIMBO ofisini kwa mkurugenzi. Kura nyepesi kuzitrack ni za udiwani tu.tukihesabu kura vituoni mbele ya wapiga kura na kutangaza matokeo hapo hatutamaliza but tutapunguza tatizo la upangaji matokeo trust me!!
Hilo halikubaliki! Unataka uzi huu uondolewe hapa?Napendekeza na kura za uchaguzi mkuu kuanzia Udiwani, ubunge na urais zihesabiwe kwa uwazi mbele ya wapiga kura kama wanavyofanya CCM katika kura za urais na ubunge?
Naomba mwaka huu iwe hivyo
Umeielewa mada?Kwa upinzani wa kutegemea mgombea atokee chama tawala unatarajia nini? Kwamba upinzani utashinda?
Unahisi umenizidi uelewa?Umeielewa mada?
CCM kama NEC, wote wanahesabu kura kisha wanamtangaza wanayempenda wao, hivyo usishangae Makonda akigombea.Napendekeza na kura za uchaguzi mkuu kuanzia Udiwani, ubunge na urais zihesabiwe kwa uwazi mbele ya wapiga kura kama wanavyofanya CCM katika kura za urais na ubunge?
Naomba mwaka huu iwe hivyo