Kwanini kusiwe na Sheria lazimishi ya kuwaamru Tasisi za kifedha kututumia Hela?

Kwanini kusiwe na Sheria lazimishi ya kuwaamru Tasisi za kifedha kututumia Hela?

Nikifa MkeWangu Asiolewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
12,463
Reaction score
27,556
Siyo lazima Kila kitu kianzishwe na wazungu tu la hasha hata sisi tunaweza kukianzisha na Bado kikawa sawa.

Chukulia mfano hizi taasisi za kifedha tunazichangia Kila siku iendayo Kwa Mungu mapesa mengi.


Lakini ajabu hawarudishi fadhira Kwa wateja wao.
Mfano Taasisi kama Crdb,Nmb,NBC, Dtb nk

Nahata Hawa Voda,Yas,halotel na Airtel tunawachangia sana kwenye huduma zao za kifedha kama Mpesa nk

Kwanini wao hawarudishi mkono wa shukurani japo Kwa kututumia zawadi kwenye sikukuu kama mwaka mpya (Tuachane na za kidini) ?

Kama hawafanyi hivyo ni vyema ikawepo Sheria lazimishi ya kuwalazimisha kutuma Hela Kwa wateja wao wote hata kama ni 10,000 tu kwenye sikukuu hiyo ya mwaka mpya.

Leo crdb wamenitumia msg za heri ya Xmass Bado Voda na wengine wengi.

Tena hata serikali iwe inatumia wananchi 50k Kila mwenye No ya nida katika laini zake zote alizo sajiri Kwa majina yake anatumiwa Hela Kwa laini yake Moja tu.

Maana huyu mtu ni mlipa Kodi kwanini asipongezwe Kwa kupewa ka 50,000/= akanywa bia na nyama choma nusu?

Kama ni mlokole ama msababto si atanunua kuku ale na familia yake?

Msg zao zinakera crdb usiku usiku tu watu Bado tuna Hangover msg kama zote halafu bila Hela ni kero tu.


Anyway Nawatakieni sikukuu njema ninyi nyote
IMG_20221226_094234_357.jpg
 
Back
Top Bottom