Zawadini
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 3,051
- 2,269
Kama ambavyo Tanganyika ni mkoloni wa Zanzibar. Huenda mambo yako sawia.Zanzibar ni parasite Kwa Tanganyika.
Kama ambavyo Tanganyika ni mkoloni wa Zanzibar. Huenda mambo yako sawia.Zanzibar ni parasite Kwa Tanganyika.
Jifunze katiba yetu, utaelewa.Ukiufuatilia muungano utakuwa chizi, mambo kibao yako ndivyo sivyo. Wana bendera yao sasa kwanini wanapoingia contacts ambazo yaliyomo si ya muungano inakuwaje hawatumii utambulisho wao (hapa namaanisha bendera) bali wanatumia utambulisho wa muungano(hapa namaanisha bendera ya Tanzania).
Meli hazisajiliwi na mashirika ya meli. Kwa Tanzania Bara zina sajiliwa na TASAC na kwa Zanzibar na ZMA.Kufuatia tukio la kukamatwa kwa meli iliyokuwa na bendera ya Tanzania, iliyokuwa na tani 6.6 za dawa za kulevya aina cocaine katika eneo la La Unión, El Salvador Februari 19, 2026,, kuna haja ya kutafakari upya suala la usajili wa meli nchini.
Wakati Serikali ya Jamhuri ya Muungano ikiwa na Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC), Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar nao wana Shirika la Meli Zanzibar. Mashirika haya yote yanafanya kazi zinazoingiliana ndani ya Jamhuri ya Muungano.
Matokeo yake sasa Shirika la Meli la Zanzibar limekuwa likisajili meli katika maeneo mbalimbali duniani na zinapokamatwa, zinaonekana zimesajiliwa Tanzania. Bendera ya Tanzania inatumika vibaya kufanyia uhalifu huko duniani.
Tukio la El Salvador sio la kwanza. Aprili 22, 2025 Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (IRGC) limekamata meli mbili zilizokuwa na bendera ya Tanzania, zikidaiwa kuwa zilisafirisha mafuta ya dizeli kwa njia ya magendo katika Ghuba ya Uajemi,
Septemba 15, 2023 Serikali ya Iran ilitangaza kukamatwa kwa meli iliyosheheni mafuta ya magèndo inayopeperusha benders ya Tanzania.
Januari 5, 2018 meli iliyokuwa ikipeperusha bendera ya Tanzania ilikamatwa na kushikiliwa huko Santo Domingo, Jamhuri ya Dominican ikiwa na dawa za kulevya aina ya Cocaine kilo 1,600.
Kwa mifano hii yote, bado Serikali haini umuhimu wa kuunganisha haya mashirika ili kuwa na kauli moja katika usajili wa meli zinazozurura huko duniani? Imefika mahali sasa majangili na wahalifu wengine wanatumia bendera ya Tanzania kufanyia uhalifu kisa tu wamesajiliwa Zanzibar. Hii ndio faida ya Muungano?
Katiba kama Zanzibar ni sovereign state au la? Au kuna ufafanuzi wa maritime contacts kwenye katiba?Jifunze katiba yetu, utaelewa.
Nazungumzia JMT. Hivi unajua uliandika nini hata ukaja ule mchango? Nimejaribu kujibu swala kimnyooko kulingana na maandiko yako. Tulia mkuu.Katiba kama Zanzibar ni sovereign state au la? Au kuna ufafanuzi wa maritime contacts kwenye katiba?
Can't you just answer straight questions with straight answers instead of pooping straight shit?
Rudia tena umesema tan ngapi?Kufuatia tukio la kukamatwa kwa meli iliyokuwa na bendera ya Tanzania, iliyokuwa na tani 6.6 za dawa za kulevya aina cocaine
Hii ni kweliUkiufuatilia muungano utakuwa chizi, mambo kibao yako ndivyo sivyo. Wana bendera yao sasa kwanini wanapoingia contacts ambazo yaliyomo si ya muungano inakuwaje hawatumii utambulisho wao (hapa namaanisha bendera) bali wanatumia utambulisho wa muungano(hapa namaanisha bendera ya Tanzania).
Ikatazwe na nani? Au unatania, Zanzibar kwasasa ni kubwa zaidi ya Tanzania. Kwa yote mabaya waliyoyatendea Tanganyika sidhani kama wataiachia usukani kwa kupenda.Ukweli ni kwamba masuala yote yanayohusiana na mahusiano ya kimataifa ni masuala ya Muungano .
Hata suala la uanachama huko IMO Zanzibar sio mwanachama .
Sasa haya mamlaka ya Zanzibar kusajili Meli kimataifa hawahusiki nayo kwa nini Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ipo kimya ?
Zanzibar inatakiwa mara moja ikatazwe kufanya hivyo
Ndio maana hakuna Wizara ya mambo ya nje Zanzibar wala Waziri.Ukweli ni kwamba masuala yote yanayohusiana na mahusiano ya kimataifa ni masuala ya Muungano .
Ada za uanachama wa IMO zinalipwa na Tanzania kama MwanachamaHata suala la uanachama huko IMO Zanzibar sio mwanachama .
Tatizo ni kuwa na Taasisi mbili, TASAC ya Tanzania a.k.a Tanganyika na ZMA ya Zanzibar.Sasa haya mamlaka ya Zanzibar kusajili Meli kimataifa hawahusiki nayo kwa nini Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ipo kimya ?
Hakuna anayeweza kuikemea , Zanzibar haikuanza leo kusajili meli za zinazofanya uhalifuZanzibar inatakiwa mara moja ikatazwe kufanya hivyo
Haujadadavua vizuri kuhusu kisirani moyoni kilivyowajaa waTanganyika kutokana na matokeo na madhila yaliyotokana na utawala huu.Ikatazwe na nani? Au unatania, Zanzibar kwasasa ni kubwa zaidi ya Tanzania. Kwa yote mabaya waliyoyatendea Tanganyika sidhani kama wataiachia usukani kwa kupenda.
Kuna mawili, wakitoka usukani itakuwa ndoto na kudra ya mwenyezi Mungu mtu kutoka Zanzibar kuwa tena Rais unless wajitenge....watakiona chamtemakuni.
Twajua Zanzibar Ina bendera. Je bendera kwenye meli ilikuwa ya Zanzibar? Suala la Meli la Muungano ama si la muungano? Kama la Muungano, G.M atuombe radhi!Whilst Msigwa jumba bovu analiangushia Zanzibar as if it is a sovereign state.
Hii Ina ukakasi. Sijui wanajisikiaje wao.'' Kila Mzanzibar ni Mtanzania lakini si kila Mtanzania ni Mzanzibar''
Wanajisikia vizuri. Siku hizi ni kauli ya CCM na ACT Zanzibar. Lengo kubwa ni kwamba wakiwa Watanzania watanufaika na kila fursa ya Tanganyika. Wakati huo huo wanaweka kikwazo kwamba si kila Mtanzania kwa maana si kila Mtanganyika ni Mzanzibar. Hii ni kuzuia Watanganyika kunufaika na fursa kama zipo ingawa sizioni.Twajua Zanzibar Ina bendera. Je bendera kwenye meli ilikuwa ya Zanzibar? Suala la Meli la Muungano ama si la muungano? Kama la Muungano, G.M atuombe radhi!
Hii Ina ukakasi. Sijui wanajisikiaje wao.
Zamani lilikuwepo shirika la tako la mshihiri.Kufuatia tukio la kukamatwa kwa meli iliyokuwa na bendera ya Tanzania, iliyokuwa na tani 6.6 za dawa za kulevya aina cocaine katika eneo la La Unión, El Salvador Februari 19, 2026,, kuna haja ya kutafakari upya suala la usajili wa meli nchini.
Wakati Serikali ya Jamhuri ya Muungano ikiwa na Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC), Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar nao wana Shirika la Meli Zanzibar. Mashirika haya yote yanafanya kazi zinazoingiliana ndani ya Jamhuri ya Muungano.
Matokeo yake sasa Shirika la Meli la Zanzibar limekuwa likisajili meli katika maeneo mbalimbali duniani na zinapokamatwa, zinaonekana zimesajiliwa Tanzania. Bendera ya Tanzania inatumika vibaya kufanyia uhalifu huko duniani.
Tukio la El Salvador sio la kwanza. Aprili 22, 2025 Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (IRGC) limekamata meli mbili zilizokuwa na bendera ya Tanzania, zikidaiwa kuwa zilisafirisha mafuta ya dizeli kwa njia ya magendo katika Ghuba ya Uajemi,
Septemba 15, 2023 Serikali ya Iran ilitangaza kukamatwa kwa meli iliyosheheni mafuta ya magèndo inayopeperusha benders ya Tanzania.
Januari 5, 2018 meli iliyokuwa ikipeperusha bendera ya Tanzania ilikamatwa na kushikiliwa huko Santo Domingo, Jamhuri ya Dominican ikiwa na dawa za kulevya aina ya Cocaine kilo 1,600.
Kwa mifano hii yote, bado Serikali haini umuhimu wa kuunganisha haya mashirika ili kuwa na kauli moja katika usajili wa meli zinazozurura huko duniani? Imefika mahali sasa majangili na wahalifu wengine wanatumia bendera ya Tanzania kufanyia uhalifu kisa tu wamesajiliwa Zanzibar. Hii ndio faida ya Muungano?
Tukisema Wazanzibar hawafai kabisa kuachiwa waongoze mambo wanalalamika tunawaonea!Matokeo yake sasa Shirika la Meli la Zanzibar limekuwa likisajili meli katika maeneo mbalimbali duniani na zinapokamatwa, zinaonekana zimesajiliwa Tanzania. Bendera ya Tanzania inatumika vibaya kufanyia uhalifu huko duniani.