Kwanini kutua kwa Airbus A380 nchini kunaibua hisia na gumzo?

Bahati nzuri mambo yako wazi wazungu huwa hawana uchawi kama wetu!!jaribu ku convert hizo uone unachotaka kuniaminisha ni kweli??
KULA CHUMA HICHO
Fuel Capacity320,000 l (84,535 gal)
Fuel Burn (Average)13,500 kg/hr (29,762 lb/hr)
Kwa Hela za kibongo, ni lazima walau uwe na bilioni ndio ujaze mafuta tenki zote
 
Labda ndio uwanja pekee ambao uko free, yaani siyo busy, who knows?
Kwa utawala wa huu wa sasa hv wa ccm,a lot of fishy staff are happening,wanawaza wizi tu,hakuna plan yoyote ni kuiba na kulimbikiza mali kwa ajiri ya vizazi vyao,
Wakati wenzetu Kenya,wamefanya mapinduzi ya kurusha satellite angani,huku kwetu bunge linapitisha azimio la kumpongeza "mama"unaweza kufikiri mama ameanza kunya mawe ya tanzanite,
Huku kwetu makamu wa Raisi na yeye anashangaa msafara wake kusababisha usumbufu kwa watu,na amekuwa makamu kwa zaidi ya miaka minne!!kama swala dogo kama Hilo,hakulijua,ataweza kujua makubwa.
Makamu afya yake inaonekana ni mgogoro,PM ni msaniii na muhuni tu,lakini at least ana charisma ya uongozi,mama na yeye ni kilaza tu,anaogopa hata aliowateua.
 
Siasa uchwara.
Utasikia Mama kawezesha A380 kutua salama...schupid kukuz.
Hivi kwanini Tanzania inaongoza kuwa na mafala wengi?
Utasikia wanaandaa na hafla kabisa ya kumpongeza Mama.
 
Yaaaaa ni majanga tu kila sehemu ukigusa dash😢
 
Nimewahisafiri na hii ndege mumbai to abuthabi kwangu ilikuwa utalii tosha ni kijiji kizima kinaishia hume
 
Mkuu ni kweli. Dude linakula wese balaa pipa 60 kwa dakika. Siyo lita mkuu namaanisha PIPAna uhakika nachosema. Umeshaona tanki lake linaeza jaza robo ya bwawa la Nyerere. Tanki lake ni futi 100 kwa urefu.
The current reigning champ for the world's largest jet airliner, the Airbus A380, is even more efficient. The multi-story jumbo jet burns an average of 4,600 gallons (11,400 liters) of fuel per hour. That's a bit more than the 747. The A380 can also carry more than 800 passengers at maximum capacity. That's about a 20 percent increase in per-passenger fuel efficiency over the older 747.

Pipa AKA 55 Gallon Drum ni around 205 liters (tuseme 200 liters)
Hii Kitu inakula 4,600 gallons approx 11,400 liters kwa saa

Hivyo basi inakula 11,400 liters divide by 60 equals 190 liters per minute Approximately Pipa Moja kwa Dakika...

Sasa wewe hilo Pipa kwa Sekunde umelitoa wapi Ukizingatia hii Ndege ni One of The Most Efficient.....
 
Nimewahisafiri na hii ndege mumbai to abuthabi kwangu ilikuwa utalii tosha ni kijiji kizima kinaishia hume
Kuna jamaa yangu aliwahi kunisimulia,anasema jinsi walivyokuwa wengi wakiingia hakuweza kuamini kama itaruka,lakini anasema at last alijikuta wako hewani...
 
wataalam huko mtandaoni wanasema kwa sababu ya sea level na bahari
 
Hamna kuongeza Mafuta hilo dude lina matenki ya ziada pia na hamnaga huo ujinga.
Unatoka nalo Heathrow Mpk Dubai Non-Stop humo ndani kila kitu kimo ije iongeze mafuta Bongo.
Hao walikua na issue zao nyingine tu ndio kufanya emergency landing
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…