Kwanini kutua kwa Airbus A380 nchini kunaibua hisia na gumzo?

Siasa uchwara.
Utasikia Mama kawezesha A380 kutua salama...schupid kukuz.
Hivi kwanini Tanzania inaongoza kuwa na mafala wengi?
Na uvccm wanaweza kuandamana kumpongeza Mama
 
Leo sita comment kitu, ata hii comment, naikataa siyo yangu.
 
Kigezo kwa Dar ni kuwa hakijaendelezwa, kina uwazi bwerere wa ndege kubwa na nafasi, na pia hakiko busy.

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Miaka si mingi kuna nyingine ilishindwa kutua shelisheli kutokana na hali ya hewa mbaya ikaja kutua JKNIA
 
Pichisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…