Mpenzi wako mna miaka mitatu mnajuana uzuri tu na wewe unatakiwa kuinjoy sio yeye tuDuh! sgr tena? ifahamike kuwa mwanamke ameumbwa kwa ajili ya mwanaume, jitahidi hata kama unajua kuliko mwanaume basi usionyeshe haraka kuwa wewe ni fundi kumzidi nenda taratibu
wewe umejifunzia wapi hizo style mpaka yeye asizijue miaka 3?Mpenzi wako mna miaka mitatu mnajuana uzuri tu na wewe unatakiwa kuinjoy sio yeye tu
Ndo ipi hiyo sgr ya SHETANI la kike au yakoKatika mapenzi kuna mengi na mnapo kutana mwanaume na mwanamke kila mtu anakuwa na vitu apendavyo na kila mtu anafanya kumfanya mwenzie awe na furaha sasa kwanini mwanamke akionyesha utundu ambao mwanaume hana anaonekana malaya?
Mfano mwanaume anajua style mbili tu na hizo mbili labda kifo cha mende na dogy mwanamke akimuonesha au kumfundisha stlye ya SGR tu mwanaume ana mchukulia mwanamke malaya why?
Unafaa sana usizidishe tu!Haufai?
Anaumwa alafu ni kama NyaubikraMwambie mkeo akuonyeshe
sema ukweli? ukajifunza mwenyewe bila kumhusisha? halafu unataka akuone Maria mtakatifu mama wa Mungu?Mtandaoni
Hamna jema ninyisema ukweli? ukajifunza mwenyewe bila kumhusisha? halafu unataka akuone Maria mtakatifu mama wa Mungu?
Katika kujifunza kwako ungemhusisha...kwa mfano bebi hivi ushawah sikia style inaitwa sgr? akikataa mtumie link heb angalia hiyo, heb jifunze tujaribu
Kama haukumuonyesha wakat mnaanza usijaribu vitu vipya ukiwa naye bila yeye kujua.Hamna jema ninyi
Huo ujuaji inatakiwa na mume aujue, au wajifunze wote mtandaoni, kama yuko kazini mtumie linki halafu usiku mnaitest woteKama ni mume wako au mtu mnayetarajia kuishi pamoja nadhani sio sawa ukiwa mjuaji kupitiliza ,.
Ila kwa wengine unaweza tu ukafanya chochote unachokipenda