Kwanini kwa mwanamke pekee na sio mwanaume pia?

Asije jaribu anakoseaje njia macho yake yako wapi ata kipofu hajawai kosea njia
 
Huo ujuaji inatakiwa na mume aujue, au wajifunze wote mtandaoni, kama yuko kazini mtumie linki halafu usiku mnaitest wote
ukiwa na mtu muelewa inakua poa sana sema shida unaweza ukamtumia mtu link akaanza kukupa mahubiri unajua mama hii sio sawa mara sijui niniπŸ˜„πŸ˜†πŸ˜†,

While kuna mtu kila siku anaamka na fantasy mpya mnaijaribu usiku ujaoπŸ˜›πŸ˜› so the choise is in your hands
 
Fantasy yangu sasaivi kipofu au mlemavu yoyote tu yule
 
Lazima umuelewe mpenzi wako, ni mtu wa namna gani, inakuwa rahisi sana, usipomuelewa changamoto

kuna siku waifu kaniuliza baba hivi unaifahamu popo kanyea mbingu, nikashtuka ndio nini hicho akanitumia link hebu angalia mwenyewe, ninaangalia nikamwambia mama style zingine ni za maonyesho sio za kupata utamu
 
kwa hali inavyokwenda soon wakulungwa watakuja na style ya mwendokasi na daladala imekata route.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…