unaweza ukafanya yote na ndoa ukaishia kutazama cherekochereko TbcSasa jirani km huwezi kumfanyia umpendaye si ndo mwanzo wa kuchepuka ili ukatafute wa kumfanyia nje.!! 😹😹😹
Ila ndoa nazo ngumu sana’aa
yeah na tatizo huwa ni nyinyi,. huwezi ambiwa kitu ukakubali bila kuulizwa umejifunza wapi?🙄😒Na hili suala linafaidisha sana michepuko,yaani mchumba au mke anaweza akajifanya boya ndani,ila nje anakiwasha kinomanoma.
Hapana nilimwambia tu vizuri maana aliikuta huko facebook,hahah hiyo ndio shida sasa,. inabidi ungemwabia sawa mama nitakuja tuijaribu halafu mwenyewe ndio angejua kama ya maonyesho au ya kupigwa kila siku😁😁
Shoga shem wako anajitia mlokole sana tatizo😃😅😅,.Sasa jirani km huwezi kumfanyia umpendaye si ndo mwanzo wa kuchepuka ili ukatafute wa kumfanyia nje.!! 😹😹😹
Ila ndoa nazo ngumu sana’aa
Lazima iulizwe bora umuonyeshe mapema yaani ile mwanzoni, kuliko kujibana mmekaa mwaka au miaka miwili ndo unaletayeah na tatizo huwa ni nyinyi,. huwezi ambiwa kitu ukakubali bila kuulizwa umejifunza wapi?🙄😒
Kwahiyo unacheza mechi za ugenini?? 😹😹Shoga shem wako anajitia mlokole sana tatizo😃😅😅,.
Ila taratibu tu ataanza kunyooka
uzuri ndoa bado wacha wenzie wamsaidie kazi kwanzaKwahiyo unacheza mechi za ugenini?? 😹😹
sasa si bora ukajiuze tu, yaani kwa sababu ya style uko tayari kuuza mechi kwa boda boda hapo hapo unataka kuwa na ndoa?Mh kwa hali iyo lazima bodaboda awe mbadala
walivyo wambea sasa ,. Hell noBodaboda ni mbadala wala usijisumbue
Ah kujiuza no kuwa huru wakat wa sex ni muhimu af hao boda mnao waona wajinga mmewazidi ndio wenye watoto kwenye ndoa zenusasa si bora ukajiuze tu, yaani kwa sababu ya style uko tayari kuuza mechi kwa boda boda hapo hapo unataka kuwa na ndoa?
sio mimi, mke wangu ana akili na anajielewa, hawez kulala na boda boda, kwa sababu style tunazotumia zinamkojozaAh kujiuza no kuwa huru wakat wa sex ni muhimu af hao boda mnao waona wajinga mmewazidi ndio wenye watoto kwenye ndoa zenu
SGR styleKatika mapenzi kuna mengi na mnapo kutana mwanaume na mwanamke kila mtu anakuwa na vitu apendavyo na kila mtu anafanya kumfanya mwenzie awe na furaha sasa kwanini mwanamke akionyesha utundu ambao mwanaume hana anaonekana malaya?
Mfano mwanaume anajua style mbili tu na hizo mbili labda kifo cha mende na dogy mwanamke akimuonesha au kumfundisha stlye ya SGR tu mwanaume ana mchukulia mwanamke malaya why?
Hapo sawa,.Hapana nilimwambia tu vizuri maana aliikuta huko facebook,
Enheee😃Ahahah unatafuta mmoja ambae ana sifa ambazo unapenda unakuta boda kijana mdogo ana macho mazuri 😊😊
kila mtu na kazi yake, huko kujua kuliko mwanaume ndio kupoje mkuu?Duh! sgr tena? ifahamike kuwa mwanamke ameumbwa kwa ajili ya mwanaume, jitahidi hata kama unajua kuliko mwanaume basi usionyeshe haraka kuwa wewe ni fundi kumzidi nenda taratibu