Kwanini kwa mwanamke pekee na sio mwanaume pia?

Umetwangwa na wanaume wangapi hadi ukafikia conclusion kuwa wanaume wakifundishwa stle na mwanamke huwa wanamchukulia huyo mwanamke kuwa malaya?
 
Kama ni mume wako au mtu mnayetarajia kuishi pamoja nadhani sio sawa ukiwa mjuaji kupitiliza ,.

Ila kwa wengine unaweza tu ukafanya chochote unachokipenda
Kwa hivo akae ndio ndani ya ndoa bila ya kusex kwa style anayoipenda na atafute mwengine wa nje ndio akafanye style anayoipenda? Kuna kosa gani kumuongoza mumewe kumfanya vile anavyoe enjoy?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ