Kwanini kwa sasa kuna Wimbi Kubwa sana la Vifo vya ghafla ghafla vya Wasanii wa Maigizo nchini Tanzania?

Kwanini kwa sasa kuna Wimbi Kubwa sana la Vifo vya ghafla ghafla vya Wasanii wa Maigizo nchini Tanzania?

Sio kweli,,, wanakufa sababu muda wao umefika,,,, mnawafuatilia hebu tupeni idadi ya waliokufa kwa wiki, mwezi, mwaka na miaka 10…then linganisha na general population,,,🥺
 
Kw
Je, ni....
1. Ahadi ya Mola
2. Kafara la Kundi
3. Dally Kimoko Virus
4. Kurogana / Kupigana Vipapai
5. Kupenana Sumu kutokana na Umaarufu wa ghafla wa Mtu
Mbona haujatoa orodha ya wengi unaowasema wamekufa? Acheni upotoshaji vifo ni kawaida ata wasio wasanii wanakufa sana tu au wasanii hawatakiwi kufa? Si sehemu ya jamii na wao ni binadamu why wasife? Au mlitaka afe nani ? Ili wao wabaki?
 
Back
Top Bottom