GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Yaani mpaka usubiri mwenzako afariki !!!huo utakuwa uchawini cheo kizitto hicho, mda wowote raisi akifariki basi makamu wake anakuwa raisi
Kuna wakati huwa najiuliza ukiacha political reasons hivi Kuna faida yoyote ya kuwa na makamu wa rais??Na katiba imeweka hivyo maana bila kumbania mamlaka tungekuwa na Marais wawili...umakamo wa rais kwa mtu anaejielewa hawezi kufanya!!
HakunaKuna wakati huwa najiuliza ukiacha political reasons hivi Kuna faida yoyote ya kuwa na makamu wa rais??
Wewe unayejielewa ungekuwa katika CCM hii ya sasa iliyojaa Uozo Mtupu tu na Uzuzu mwingi?Cheo ni kazi sio heshima au vigelegele
Mleta mada hujielewi
Umemaliza?Au umepumzika utakuja kumalizia?Majibu yenu ni muhimu Kwangu kwani kuna Mtu nasikia analalamika Maagizo yake hayafanyiwi Kazi haraka kama ya Waziri mwenye Wizara ambayo hapo kabla Yeye ndiyo ilikuwa Wizara yake na aliimudu vilivyo kwa Kutubania Fedha Watanzania hadi ikawa Ngumu kuipata ila Yeye na aliyemteua ( sasa kalala mazima ) wakawa Wanazitumbua tu watakavyo na Mjomba Mtu Mmoja wa zinakotunzwa.
Namuona ni Ceremonial Leader tu na siyo Executive Leader kutokana na Vitendo ambavyo ninaviona avifanya nchini.Kwanini unasema hivyo?
Kifutwe na Rais akifa nani atarithi kitu?Hiki cheo kifutwe kabisa
Bora rais akifa bunge lipige kura kupata rais wa kumalizia muda uliobaki.Kifutwe na Rais akifa nani atarithi kitu?