Kwanini kwa Tanzania ni kheri uwe Waziri wa Wizara yoyote tu Utaheshimika kuliko ukiwa Makamu wa Rais ambapo Utasahaulika na Kupuuzwa?

Hiki cheo cha makumu wa raisi kingefutwa tu pamoja na manaibu waziri(wabaki mawaziri na maktibu wakuu), na wakuu wa wilaya ( hawa nao wafutwe wabaki watendaji na madiwani) kingine viti maalum kupunguzwa viti maalum vibaki 2 tu..( walemavu na wanawake)
 
Si bora VP wa Sasa anakumbukwa .
 
Na katiba imeweka hivyo maana bila kumbania mamlaka tungekuwa na Marais wawili...umakamo wa rais kwa mtu anaejielewa hawezi kufanya!!
Na imefanya vizuri sana,Nchi ingekuwa haitawaliki..

Ndio maana PM akijifanya Rais kivuli hutimuliwa kwa Zengwe.
 
Labda basi hiyo nafasi ya umakamu wangepewa chama kikuu cha upinzani kwa uchaguzi husika( chama kilichpata kura nyingi za kuwania kiti cha uraisi).
Walau angekua hata anajitutumua lakini huyu akijifanya kufanya mengi itaonekana kama anamchafua/anampinga/anashindana raisi wake ambae pia ni mwenyekit wa chama chake.
 
Na katiba imeweka hivyo maana bila kumbania mamlaka tungekuwa na Marais wawili...umakamo wa rais kwa mtu anaejielewa hawezi kufanya!!

Kwahiyo Ndiyo Umemaliza Kusema???

 

haa

 

Zabayanga Aliongea Akiwa Hajui Eneo Lake

 
Ninadhani ni maamuzi binafsi ya mtu mwenyewe akiamua kuinua mapembe maagizo yake yatatekelezwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…