Teslarati
JF-Expert Member
- Nov 21, 2019
- 2,621
- 10,466
Hii kitu inanishangaza sana.
Nimetembelea bars, lounges na clubs za level tofauti, kuanzia changanyikeni, middle class hadi na VIP lakin hii tabia naiona kote kwa wanawake na mashoga.
Ni kwa nini huwa mnasindikizana chooni hata kama mtu hajalewa eti mnasindikizana. Huwa mnaenda kufanya nini huko?