Kwanini kwenye kumbi za starehe wanawake huwa mnasindikizana vyooni? Mnafanyaga nini huko?

Teslarati

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2019
Posts
2,621
Reaction score
10,466
Hii kitu inanishangaza sana.

Nimetembelea bars, lounges na clubs za level tofauti, kuanzia changanyikeni, middle class hadi na VIP lakin hii tabia naiona kote kwa wanawake na mashoga.

Ni kwa nini huwa mnasindikizana chooni hata kama mtu hajalewa eti mnasindikizana. Huwa mnaenda kufanya nini huko?
 
Kama hujui wanachofanya, basi hujapewa ruhusa ya kufahamu!
 
Back
Top Bottom