Kama hujui wanachofanya, basi hujapewa ruhusa ya kufahamu!Hii kitu inanishangaza sana.
Nimetembelea bars, lounges na clubs za level tofauti, kuanzia changanyikeni, middle class hadi na VIP lakin hii tabia naiona kote kwa wanawake na mashoga.
Ni kwa nini huwa mnasindikizana chooni hata kama mtu hajalewa eti mnasindikizana. Huwa mnaenda kufanya nini huko?
Beba kamalozie gheto.Ndo JD ipo nusu
Ndio hao wanasindikizana chooni..Navizia demu hapa
Tongoza wote .. kapige 3some mzabzabNdio, sasa kila akipita anapita na mwenzake, wananipa wakati mgumu hadi inakera. Inapoelekea nawatongoza wote sasa
Wanawake wa 3some hawatongozwiTongoza wote .. kapige 3some mzabzab
Hao ni machoko. Wanaume hatunaga hizo mbangaHata wanaume baadhi, kuna wengine walifuatiliwa mienendo yao mitaa ya Mwenge walipokutwa ndani ya choo kimoja wakasema walikuwa wananyoana ndevu za siri