Kwanini kwenye ndege kila mtu asivishwe parashuti?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Ili kuepuka vifo vitokanavyo na ndege kupata ajali chini kwanini makampuni ya ndege yasinunue parashuti kwa kila abiria yaani ukikaa kwenye seat unalivaa ili ndege ikipoteza control basi mnaruhusiwa kuruka kutoka nje mnapaa mnashuka chini bila kujipigiza?
 
KUNA SIKU KUNA MADA ILIPOSTIWA HAPA JF HEADLINE ILIKUWA INATAKA UMTAJE MTU MWENYE AKILI NYINGI HUMU JF ... Nilikutag wewe ndege JOHN ila watu wengi walicheka.

sasa leo umewathibitishia kama wewe sio kiumbe wa kawaida.
 
Hao wanajeshi, kuruka na parachati ni mafunzo ya karibia mwaka mzima..itakua hao raia hata kuruka mtaro wa maji taka ni shida?

Ndege inayobeba watu 500,hayo maparachuti na uzito wake utakuwaje?

Think big as a great thinker,akili ndogo sana umetumia kuleta hili.
 
KUNA SIKU KUNA MADA ILIPOSTIWA HAPA JF HEADLINE ILIKUWA INATAKA UMTAJE MTU MWENYE AKILI NYINGI HUMU JF ... Nilikutag wewe ndege JOHN ila watu wengi walicheka.

sasa leo umewathibitishia kama wewe sio kiumbe wa kawaida.
Asante kwa kuni appreciate mkuu watu wengi hatujuani maisha yetu halisi..me kiukweli toka primary mpk secondary nilikuwa nafanya maajabu sana class kama sio Wa kwanza basis napata one.

Nilichange tu advance Na chuo nikazingua kwenye max ila kwenye interview ya kazi utumishi nikaonyesha maajabu mno kati ya watu 54 nafasi 4 nikapata kazi taasisi nzuri na kazini nikafanya vizuri mno kiasi cha kukabidhiwa imperest ndani ya mwaka before sijawa Senior na mwisho nimepata mke mzuri hajasoma ila ana nyota ya hela balaa acha maisha yaendelee kifupi hela ya bando sikosi ally.

Asante
 
Mkuu....
Kweli umechangia vyema sana, lakini nafikiri umekosea kumtweza kwenye umaliziaji ndege JOHN
 
Mhhh, mbona kama unamshushia matofali ya kichwa kijana wetu!!!?
 
Itabidi waanze na zoezi la kuwafundisha watu jinsi ya kutumia parachuti zenyewe.

Ukute mtu hata parachuti yenywewe hajawahi kuiona unaiona Mara ya kwanza akiwa kwenye ndege unafikiri ataitumiaje pasipo kufundishwa?
Kwani ile si kama bag tu unavuta mkanda inafunguka
 
Asante kwa kuni appreciate mkuu watu wengi hatujuani maisha yetu halisi..me kiukweli toka primary mpk secondary nilikuwa nafanya maajabu sana class kama sio Wa kwanza basis napata one...
Very Good!!!

Kwenye kiasi cha mshahara ulichopata, naomba unitumie ELFU HAMSINI kwenye MPESA yangu.
 

Kwani katika ndege 1000 za abiria kwa mwezi, ngapi zinaweza kupata dharura kama hiyo?

Fikiria hata February tu iliyopita kama unaweza kukumbuka ndege ngapi zilikumbwa na kadhia kubwa kubwa yenye kufikia uhitaji huo.

Kwa hili lako kuna uwezakano wa kupendekeza watu wawe wanavaa condom mDA wore kama wanavyovaa mashati kujikinga na ngono zembe.
 
Kuna kuchezēa likajifungua
 
Huwezi kutumia parachute bila kupata mafunzo ya muda mrefu.
 
Wapo raia hutembea na kondomu mfukoni..

Gear za kujiokoa pia ziko kwenye ndege.

Mleta mada anataka zisiishie kuwepo, wavae. Inafanana na condom zisiishie kuwa mfukoni, wawe wanavaa kabsa kabsa kama shati tu.

Ushauri wa bure kwa mleta mada Mr. ndege JOHN haya mambo tuwaachie wataalamu wa madege. Sisi tujikite kwenye yale yetu ya uganga wa kienyeji. Madelu alikuwa na hoja.

Yale ya kuruka na ungo ndiyo asili yetu kumbuka jasiri haachi asili. Huku tunayo nafasi ya kufanya vyema zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…