Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Hajui wale wenyewe Kuna surface karibu na ardhi ndo wanafungulia ili kujua watatua maeneo gani ya karibu ...Kama hujui ukilifungulia Kule juu na upepo ule unaweza pelekwa hata nchi ya mbali huko hata kuharibika kabisa kwa upepo mkali.Kuruka na parachuti ni skill kubwa,inahitaji training.
Umewahi kupanda ndege?Ili kuepuka vifo vitokanavyo Na ndege kupata ajali chini kwanini makampuni ya ndege yasinunue parashuti kwa kila abiria yaani ukikaa kwenye seat unalivaa ili ndege ikipoteza control basi mnaruhusiwa kuruka kutoka nje mnapaa mnashuka chini bila kujipigiza?
Ooh, sasa nimeelewa.Asante kwa kuni appreciate mkuu watu wengi hatujuani maisha yetu halisi..me kiukweli toka primary mpk secondary nilikuwa nafanya maajabu sana class kama sio Wa kwanza basis napata one...
ππ€π€π€π€ hizo mkuuAsante kwa kuni appreciate mkuu watu wengi hatujuani maisha yetu halisi..me kiukweli toka primary mpk secondary nilikuwa nafanya maajabu sana class kama sio Wa kwanza basis napata one.
Nilichange tu advance Na chuo nikazingua kwenye max ila kwenye interview ya kazi utumishi nikaonyesha maajabu mno kati ya watu 54 nafasi 4 nikapata kazi taasisi nzuri na kazini nikafanya vizuri mno kiasi cha kukabidhiwa imperest ndani ya mwaka before sijawa Senior na mwisho nimepata mke mzuri hajasoma ila ana nyota ya hela balaa acha maisha yaendelee kifupi hela ya bando sikosi ally.
Asante