Kwanini kwenye nyumba za kupanga ujenzi wa vyoo vizuri hauzingatiwi?

Half american

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
46,410
Reaction score
114,823
Ujenzi wa choo kizuri na salama kwa matumizi sio jambo linalozingatiwa sana hasa kwenye nyumba za kupanga hasa hizi za bei za kawaida (10K-150K). Unakuta nyumba nzuri na mazingira n mazuri ila chooni utadhani kulisahaulika wakafosi kujenga ili choo kiwepo.

Vyoo vingi ni vidogo sana, na namna miundombinu inavyowekwa ndio shida kabisa hali inayopelekea shida kwa watumiaji. Angalia mfano pichani wa hicho choo kilivyosetiwa na kujengwa ni sahihi?
IMG_20250415_063921.JPG

Kuna kipindi nilikuwa nafuatilia ishu fulani mkoani nikaona gharama za gest ni kubwa sana kwa siku nitakazokuwa pale, nikaamua kupanga chumba mwezi mmoja na mbaya zaidi nililupia bila kuona choo na kwa uzuri wa mazingira ya nyumba ile sikuwa na shaka juu ya hali ya choo, choo chake ni kidogo mno na kifupi, binafsi nilikuwa nateseka na nna mwili wa kawaida tu ila kuna dada alikuwa bonge alafu kapanda hewani, sijui kwa upande wake hali ilikuwaje ila nahisi ni mateso.

Hapa tatizo huwa ni nini?
•mwenye nyumba
•fundi
•eneo
•bajeti hafifu ya ujenzi.
•Sababu za kibiashara(kupunguza gharama)

Ujenzi bora ni pamoja na choo kizuri.
NAWASILISHA..
 
Biashara inategemea na wateja wa eneo husika.

Kama wateja wanalipa kwa mwezi elfu 20, huwezi kuweka choo cha gharama.

Kwasababu unaweza kuta hata matumizi ya choo hawajui.

Kila biashara ina tegemea maeneo na aina ya wateja wa eneo husika.
 
Ujenzi wa choo kizuri na salama kwa matumizi sio jambo linalozingatiwa sana hasa kwenye nyumba za kupanga hasa hizi za bei za kawaida (10K-150K). Unakuta nyumba nzuri na mazingira n mazuri ila chooni utadhani kulisahaulika wakafosi kujenga ili choo kiwepo.

Vyoo vingi ni vidogo sana, na namna miundombinu inavyowekwa ndio shida kabisa hali inayopelekea shida kwa watumiaji. Angalia mfano pichani wa hicho choo kilivyosetiwa na kujengwa ni sahihi?
View attachment 3304752

Kuna kipindi nilikuwa nafuatilia ishu fulani mkoani nikaona gharama za gest ni kubwa sana kwa siku nitakazokuwa pale, nikaamua kupanga chumba mwezi mmoja na mbaya zaidi nililupia bila kuona choo na kwa uzuri wa mazingira ya nyumba ile sikuwa na shaka juu ya hali ya choo, choo chake ni kidogo mno na kifupi, binafsi nilikuwa nateseka na nna mwili wa kawaida tu ila kuna dada alikuwa bonge alafu kapanda hewani, sijui kwa upande wake hali ilikuwaje ila nahisi ni mateso.

Hapa tatizo huwa ni nini?
•mwenye nyumba
•fundi
•eneo
•bajeti hafifu ya ujenzi.
•Sababu za kibiashara(kupunguza gharama)

Ujenzi bora ni pamoja na choo kizuri.
NAWASILISHA..
Hicho sio choo, choo lazima kikuburudishe na uone.raha kujisaidia
 
Biashara inategemea na wateja wa eneo husika. Kama wateja wanlipa kwa mwezi elfu 20 huwezi kuweka choo cha gharama. kwasababu unaweza kuta hata matumizi ya choo hawajui.

Kila biashara ina tegemea maeneo na aina ya wateja wa eneo husika.
Hata kama n biashara ndio choo kisetiwe kama hicho cha pichani mkuu?
 
Hakuna standard za ujenzi nchi hii, Choo ni alichojenga kinakidhi mahitaji.

Kuna chumba, shimo na tundu la kupokea uchafu.

Nchi hii haina code of standard kwenye ujenzi.

Ndio maana wanatoa mamlaka kwa wenyeviti wa serikali za mitaa kutoa building permit.

Majengo haya kaguliwi, wanajali tu kama umepewa building peemit hawajali nani kajenga, katumia nini kujenga na siyo ubora wa jengo.
 
Hakuna standard za ujenzi nchi hii, Choo ni alichojenga kinakidhi mahitaji. Kuna chumba, shimo na tundu la kupokea uchafu.

Nchi hii haina vode of standard kwenye ujenzi.

Ndio maana wanatoa mamlaka kwa wenyeviti wa serikali za mitaa kutoa building permit.

Majengo haya kaguliwi, wanajali tu kama umepewa building peemit hawajali nani kajenga, katumia nini kujenga na siyo ubora wa jengo.
Hii sasa ni shida huko baadae maana watu wanajenga jenga tu bila kuzingatia standard.
 
Fundi Maiko na michoro yake ya Mchongo sisi tumepangisha Choo cha wapangaji ni Choo kweli km Chumba Choo Bafu public Toilet mtu anaenjoy na wapangaji wakija hawahami kuna mmoja kapafanya km kwake kabisa huu sijui unaenda mwaka wa 10 jamaa ahami anafanya maboresho tu ya nyumba yeye ni kuomba tu naomba nifanye maboresho fulani anapewa go ahead kaja kupanga akiwa Bwana mdogo tu hajaoa kapata mke kaoa hapo hapo na sasa ana watoto hapo hapo yaan jamaa watu wengine wanajua nyumba ni yake kumbe amepanga ndugu wazazi jamaa marafiki wakija wanafikia hapo wanaweza wakae muda mrefu tu maana nyumba inawatosha na Choo hakisumbui
 
Huyo akihama apo anahamia kwake, nyumba ikiwa nzuri na wamiliki hawasumbui unahama unaenda wapi mkuu.
 
Fundi Maiko na michoro yake ya Mchongo sisi tumepangisha Choo cha wapangaji ni Choo kweli km Chumba Choo Bafu public Toilet mtu anaenjoy na wapangaji wakija hawahami kuna mmoja kapafanya km kwake kabisa huu sijui unaenda mwaka wa 10 jamaa ahami anafanya maboresho tu ya nyumba yeye ni kuomba tu naomba nifanye maboresho fulani anapewa go ahead kaja kupanga akiwa Bwana mdogo tu hajaoa kapata mke kaoa hapo hapo na sasa ana watoto hapo hapo yaan jamaa watu wengine wanajua nyumba ni yake kumbe amepanga ndugu wazazi jamaa marafiki wakija wanafikia hapo wanaweza wakae muda mrefu tu maana nyumba inawatosha na Choo hakisumbui
Mi niliwai kujenga mapema sababu ya kero za nyumba niliyopanga....nadhani kero zinasaidia pia kiasi fulani
 
Back
Top Bottom