Ndio zipo nyumba zinakuhamasisha ujenge ya kwako ila kuna zingine zinakudumaza especially ukipata nzuri unajiuliza ujenge ujenge nini nyumba hii hapa pesa unayolipia pango ni asilimia chache tu za mshahara wako kichwa haukisumbuiMi niliwai kujenga mapema sababu ya kero za nyumba niliyopanga....nadhani kero zinasaidia pia kiasi fulani
Niuangalie mlango na sio niugeukie 😂😂Wewe unataka mlango ndio ukugeukie wewe
Mlango unaupa matako vyoo vya hivyo ni bonge la mtihani km upo kambiniNiuangalie mlango na sio niugeukie 😂😂
Washroom Raha yake iwe safi, maji mengi na mlango ufunge....Mlango unaupa matako vyoo vya hivyo ni bonge la mtihani km upo kambini
Ndio unajenga Choo km uchochoro?Ili wapangaji wasizoee nyumba za watu
Uko sawa kabisaa.Alichokosea ni ilo sinki kuliweka namna iyo angeweka ukikaa uangalie mlango
Ndio ivyo mkuu .....mi mwenyewe nawapeleka puta wapangaji wangu hawapoi! Japo wananiita mzee nuksi ila nafanya ivyo ili wasijisahau wakadhani wanakaa kwa baba yao!Ndio zipo nyumba zinakuhamasisha ujenge ya kwako ila kuna zingine zinakudumaza especially ukipata nzuri unajiuliza ujenge ujenge nini nyumba hii hapa pesa unayolipia pango ni asilimia chache tu za mshahara wako kichwa haukisumbui
Hawana jema wala wema.....bora kuwa kauzu tu!Wapangaji miyeyusho Sana.
Wenye nyumba wengi siku hizi wana wakanyagia.
Hawabebeki kabisa.
Kamanda acha wateseke tu.
Wajenzi wameishi nje ya ukawaida.
Mzee Nuksi Baba Kauzu ukifika wakati wa kodi kelele zinakua nyingi sana ila ukipata mpangaji alienyooka anakulipa mwaka mzima husumbuani nae hataki NuksiNdio ivyo mkuu .....mi mwenyewe nawapeleka puta wapangaji wangu hawapoi! Japo wananiita mzee nuksi ila nafanya ivyo ili wasijisahau wakadhani wanakaa kwa baba yao!
Kamanda au ulitaka tundu likae mbele ilipokaa ndoo ?Hicho choo kinachekesha, Mm kabla ya kuingia nngeanza kucheka kwanza 😂
ahahaha, mi bwana mpangaji naweza sema huyu safari hii lazima nimpe notice ahame! akinipa pesa tu ya miezi sita nishasahau gafla kero zake zote...Mzee Nuksi Baba Kauzu ukifika wakati wa kodi kelele zinakua nyingi sana ila ukipata mpangaji alienyooka anakulipa mwaka mzima husumbuani nae hataki Nuksi
Hapo ilitakiwa matako yaelekea kwenye mlango ili mwenye nyumba afurahi zaidi mana hapo hajafurahi sana 😂Kamanda au ulitaka tundu likae mbele ilipokaa ndoo ?
Wenye nyumba wa hivyo wengi wao Wana chembechembe za uchawi sio BureUjenzi wa choo kizuri na salama kwa matumizi sio jambo linalozingatiwa sana hasa kwenye nyumba za kupanga hasa hizi za bei za kawaida (10K-150K). Unakuta nyumba nzuri na mazingira n mazuri ila chooni utadhani kulisahaulika wakafosi kujenga ili choo kiwepo.
Vyoo vingi ni vidogo sana, na namna miundombinu inavyowekwa ndio shida kabisa hali inayopelekea shida kwa watumiaji. Angalia mfano pichani wa hicho choo kilivyosetiwa na kujengwa ni sahihi?
View attachment 3304752
Kuna kipindi nilikuwa nafuatilia ishu fulani mkoani nikaona gharama za gest ni kubwa sana kwa siku nitakazokuwa pale, nikaamua kupanga chumba mwezi mmoja na mbaya zaidi nililupia bila kuona choo na kwa uzuri wa mazingira ya nyumba ile sikuwa na shaka juu ya hali ya choo, choo chake ni kidogo mno na kifupi, binafsi nilikuwa nateseka na nna mwili wa kawaida tu ila kuna dada alikuwa bonge alafu kapanda hewani, sijui kwa upande wake hali ilikuwaje ila nahisi ni mateso.
Hapa tatizo huwa ni nini?
•mwenye nyumba
•fundi
•eneo
•bajeti hafifu ya ujenzi.
•Sababu za kibiashara(kupunguza gharama)
Ujenzi bora ni pamoja na choo kizuri.
NAWASILISHA..
Hata vipimo sijui ila kwa muonekano tu ni kidogo sana bora hata kingejengwa kwa urefu.
Mazingira ya choo kwa ujumla yanapaswa kuwa mazuri.