Kwanini kwenye saloon nyingi za kike huwa hamna Radio/Television?

Kwanini kwenye saloon nyingi za kike huwa hamna Radio/Television?

kaa nyumba ambayo ina wanawake tu tena wanaoshinda nyumbani bora kusubiri kuletewa na mabwana wao ndo utajua msingi wa swali lako.

hizo nyumba ugomvi ni kila kukikucha ...mazogo huwa hayaishi
 
Hakuna sehemu zenye umbea kama hizo saluni sasa radio na tv za nini?
 
Sababu wao wenyewe tayari ni radio mbao, wao wenyewe tarayi ni Television za chogo...

Kwenye Saloon za kike cha muhimu ni "Title" "Kichwa cha taarifa" basi, mengine yote binadamu wanatiririka...

Cc: mahondaw
 
Kwamba redio haiwezi kusikiliza redio 🤣🤣
 
Write your reply...Mwanamke mmoja ni sawa na redio stesheni moja na page 10 za umbea Instagram sasa unadhani wataeka TV na radio ili iweje ?
 
dah unatia huruma..yani unaanza kumpania mtu ambaye hata kumjua haumjui ....
Nyege mbaya Sana ila nmepambana hadi nikapata wakuzitoa siku ile ile daah Unaweza kubaka hivi hivi

Sent by IPhone
 
Back
Top Bottom