johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hata Mabohora?Mkuu bakwata inawakilisha waislamu wote Tanzania
Mkuu bakwata inawakilisha waislamu wote Tanzania
Bakwata haiwakilishi waislamu wote, bali huwakilisha serekali kwa baadhi ya waisilamu. Kuna waisilamu wengi wa ukweli hawaitambui bakwata.
Kama!
Sasa hao wengine tofauti na Bakwata wanatambulika na serikali?!BAKWATA haiwakilishi Waislamu wote hapa Tanzania. Ndiyo maana hata kwenye kuanza kufunga na kusherehekea Waislamu hapa Tanzania hutofautiana
Kwani kuonekana kwenye TV ni dhambi?!Mashehe wa BAKWATA wanapenda kuonekana kwa TV sana Mpaka najiuliza ivi wanapata mda wa kuongea na waumini wao kweli
Wana zaidi inakua to muchKwani kuonekana kwenye TV ni dhambi?!
Inategemea unaonekata kwa jambo lipiKwani kuonekana kwenye TV ni dhambi?!
Kutambulika ni kusajiliwa. Kuna Jumuiya na Taasisi za Kiislamu na kadhalika. Hata makanisa/madhehebu yote hayawakilishwi kwenye shughuli hizo. Kikubwa ni kuwa makanisa hayo yamesajiliwa kwa mujibu wa sheria na taratibu zilizopo.Sasa hao wengine tofauti na Bakwata wanatambulika na serikali?!
Ina maana waislamu wa Bakwata wanatoka dhehebu mojja au dhehebu zaidi ya moja kama ilivyo CCT?Kutambulika ni kusajiliwa. Kuna Jumuiya na Taasisi za Kiislamu na kadhalika. Hata makanisa/madhehebu yote hayawakilishwi kwenye shughuli hizo. Kikubwa ni kuwa makanisa hayo yamesajiliwa kwa mujibu wa sheria na taratibu zilizopo.
Maswali mengine ujibu mwenyewe. Nijuavyo, BAKWATA hakuna SunniIna maana waislamu wa Bakwata wanatoka dhehebu mojja au dhehebu zaidi ya moja kama ilivyo CCT?
Ok ngoja aje Allen Kilevela maana babu yake ni miongoni mwa waasisi wa Bakwata....... Binafsi najivunia kusoma shule ya Bakwata mkoani Iringa ambayo walimu walikuwa ni TX kutoka Pakistan na Iran!Maswali mengine ujibu mwenyewe. Nijuavyo, BAKWATA hakuna Sunni
Mabohora ni waislamu?!Hata Mabohora?
Ndiyo bwashee wewe ulidhani ni zoroastrians?Mabohora ni waislamu?!