EL ELYON
JF-Expert Member
- Jan 2, 2013
- 1,565
- 1,918
Habari wakuu na heshima kwenu mabaharia wote waongoza njia na wajasiri wapambanaji. Niliwahi kuishi na dada mmoja wa kinyiramba ambaye alikuaga mpenzi wangu wakati nipo Advance Level yeye yupo O-Level. Tulipotezana kwa miaka 11 nikaskia ameolewa Arusha, basi siku moja nilikutana na rafiki yake ambaye walisoma wote akaniambia aisee unajua fulani yupo hapa DSM na huwa anakuja sana kwangu anaishi kwa rafiki yake.
Mmh! Nikamwambia si ameolewa arusha akajbu inasemekana kaachka nikamwambia naomba namba yake, akawa kanipa kweli nilimtafuta tukapanga kuonana kweli tulionana nikaenda nae mpk kwangu kama kawaida nikala mzgo sn bt sku iyo nlipomalza kula mzgo kuna kiharufu kikali sn nilikiskia nikajpa moyo uwenda ni kawaida tu. Sasa akawa analalamika rafk yake anamnyanyasa sn nikamwambia kaa hapa kwangu bnafs nlipanga kumuoa. Basi bwana nimekaa nae kwa muda wa miezi kama 3 nikagundua ana tabia ya umalaya yan ana wanaume wengi nikamchunguza nikapata ushahidi kuna sku nlikua nasafiri kwenda mwanza kikaz kumbe nae anapanga kusafiri kwenda korogwe ana bwana ake huko mbaya zaidi ni mume wa rafiki yake.
Niliumia sn nikapanga kumfukuza bt nilimsamehe ingawa ilinifanya kuongeza nguvu ya kumpeleleza mpk uko alikokuwa arusha nikagundua alikuwa kweli anaishi na mtu na kamtolea posa huyo aliyekuwa anaishi alikua ni mtu wa kusafiri kumbe jamaa aksafiri mdada anaingza mshkaji ndani anakula mzgo usku kucha haya niliyajua kuptia jamaa mwnyw najua mtaniulza namba nlpata wp nlpata kwny cm ya mdada mwnyw kwani wakati nampeleleza nlijua jina la mtu aliyekuwa anaish nae na namba kwny cm yake ilikuwepo.
Jamaa alifunguka mengi sn khs mdada alirudi usku ghafla kwan alikuwa amesafiri aliamua kurud bila taarifa kwan alshaanza kumshtukia mkewe anasema alipofka usku wa saa 6 akagonga mlango mkewe bila kuulza akafungua mlango yan ni kama kuna mtu alikua anamsubiri jamaa akashangaa sn alpofka room akashka cm ndogo ya mkewe akakuta sms kama zote mdada alikuwa ana chart na uyo jiran yao akmwambia nimekupa mwili wng umeuchezea usku kucha na nlikwambia npo kwny sku mbaya nikpata mimba mume wng aknfukuza takuja kuish na wewe nishakupenda.
Jamaa alchokfanya akamwambia mkewe arudi kwao singida ye nae ataenda kupata muafaka kweli mdada aliondoka jamaa akajpanga akaenda akiwa na ushahd wa sms hzo na akaamua kumuacha rasmi. Ndo chanzo cha mdada kuja dsm. Baada ya kupata data hz nae nilimbana akakili kweli aliachwa ksa eti sms tu. Nilichukua uamuzi wa kuachana nae rasmi japo nlikua nampenda sn. Sasa hii ilinifanya nianze kuchunguza hawa wadada wa singida cha ajabu kila nnayemgusia anasema wale malaya huwawezi wanawezana wao kwa wao.
Kwasasa npo katoro kikaz kuna rafk yng yupo hp nlimgusia akasema we unataka kuoa mwanamke wa singida utamuweza, akanambia hao hata hapa katoro wpo ni maarufu kwa umalaya sn, juz kati nlikua naongea na rafk yng yupo singida chuo cha ualimu nikamtania nitafutie mchumba uko nioe nae akaniambia wewe wanawake wa singida si wake wa kuoa ni wa kutumia tu unaacha ni malaya sn. Pia nlifatilia thread za nyuma humu khs wadada wa singida napo nilikuta tuhuma hzo kwamba hawajatulia. Sasa wakuu kwanini hivi kwa hawa wadada wa singida ni kweli ama wanasingziwa tu? Japo najua wapo watasema umalaya ni tabia ya mtu.