Kuna Land rover moja ya shirika nilikuwa nagongea gongea kipindi fulani, kwa kweli ni gari nzuri sana upande wa engine, power ya kutosha na mafuta zinakula vizuri tofauti na Toyota pia haziyumbi barabarani. Faida yake nyingine ni kwamba ukiwa Off-road huwezi kwama hata iweje, inapita popote pale ambapo pana upenyo wa njia.... Tatizo lake ni matunzo bhana, unaitunza kama demu vile, ukienda pori ukirudi lazima ubadilishe bush or bearings e.t.c spares zake zikiharibika hakuna kuunga unga lazma ubadilishe, ukishafungua spare hairudishiki....pia Coolant fluid ukijaza kupita kiasi inafloat mzee.... Ila ni gari nzuri sana... Hapo kwenye matunzo ndo Toyota anampiga bao