Kwanini Lavalava hana kiki kama wasanii wengine wa Wasafi

LAVALAVA aka ninja kungfu mastaaaaaaaa

Ilo mastaaaa ni mastaaa kweliiii

For your information. asilimia 90 za nyimbo za wasafi (za Diamond na Zuchu) jamaa ndio mwandishi wa mashairi

Na analipwa hela ndefu kuwa uhandishi tu ndomana anazembea kutoa nyimbo zake

Ni Mbosso pekeake pale WCB ndo uwa anachukua peni na karatasi na kujiandikia mashairi,na pia baadhi ya nyimbo bado zitapita wa kungfu Mastaaaa ili akague mashairi na kuyarekebisha ikibidi
 
Huyo dogo anakipaji kikubwa Sana so wakati mnamchukilia Powah yeye anakula maokoto
 
LAVALAVA aka ninja kungfu mastaaaaaaaa

Ilo mastaaaa ni mastaaa kweliiii

For your information. asilimia 90 za nyimbo za wasafi (za Diamond na Zuchu) jamaa ndio mwandishi wa mashairi

Na analipwa hela ndefu kuwa uhandishi tu ndomana anazembea kutoa nyimbo zake

Ni Mbosso pekeake pale WCB ndo uwa anachukua peni na karatasi na kujiandikia mashairi,na pia baadhi ya nyimbo bado zitapita wa kungfu Mastaaaa ili akague mashairi na kuyarekebisha ikibidi
Hawa ni established artists, unawasema. diamond ni 14 years kwa game,
 
Back
Top Bottom