fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
nikuamini kwa lipi wakati huwaga sio mtu wa kumfuatilia kias kwamba hujui kama ana epNiamini mimi hapewi promo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nikuamini kwa lipi wakati huwaga sio mtu wa kumfuatilia kias kwamba hujui kama ana epNiamini mimi hapewi promo.
Hawa ni established artists, unawasema. diamond ni 14 years kwa game,LAVALAVA aka ninja kungfu mastaaaaaaaa
Ilo mastaaaa ni mastaaa kweliiii
For your information. asilimia 90 za nyimbo za wasafi (za Diamond na Zuchu) jamaa ndio mwandishi wa mashairi
Na analipwa hela ndefu kuwa uhandishi tu ndomana anazembea kutoa nyimbo zake
Ni Mbosso pekeake pale WCB ndo uwa anachukua peni na karatasi na kujiandikia mashairi,na pia baadhi ya nyimbo bado zitapita wa kungfu Mastaaaa ili akague mashairi na kuyarekebisha ikibidi