Kama option ya loan takeover haionekani, huenda utaratibu unafanyika kupitia HR/kitengo cha mikopo. Kwa kulipa cash, ni bora uombe loan settlement/balance statement rasmi, kisha upewe utaratibu na namba ya malipo. Usilipe bila kuthibitisha kiasi na reference sahihi.Sioni option ya loan take over nawezaje kulipa cash kama ninayo? Utaratibu ni upi? Hata ukirequest balance hawakupi?
Kwanini uwalipe? Hiyo hela tafuta demu mkali ule maisha nenda naye hata Dubai.Nataka nilipe cash.
Boss la DP World 🤣🤣🤣 🌍Kwanini uwalipe? Hiyo hela tafuta demu mkali ule maisha nenda naye hata Dubai.
Naam mkuu.
Hiyo hela tafuta demu mkali ule maisha nenda naye hata Dubai.Naam mkuu.
Naam, hiyo ndiyo akili sasa, vinginevyo ataishia kukopa na kulipa madeni.Hiyo hela tafuta demu mkali ule maisha nenda naye hata Dubai.
🤣🤣
Uko sahihi mkuuKama option ya loan takeover haionekani, huenda utaratibu unafanyika kupitia HR/kitengo cha mikopo. Kwa kulipa cash, ni bora uombe loan settlement/balance statement rasmi, kisha upewe utaratibu na namba ya malipo. Usilipe bila kuthibitisha kiasi na reference sahihi.