Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiswahili kilitakiwa kiwe hivi na kadhalika kabla ya usanifishaji mwaka 1936. Kiswahili tunachoongea tanzania kinatokana na lahaja ya kiunguja iliyosanifishwa na waingerezaBaweke mabuduki na masasi chini tupewe fasi ya kupigana bangumi.
Msumbiji mueda huko nilikuta wanaongea kiswahili safi kama wakazi wa mbagalaMsumbiji ina wakazi wengi waliohamia zama hizo kutokea hapo KILWA
Bakongo habapendi vita. Hii vita inaletwa na na Banyamulenge.Baweke mabuduki na masasi chini tupewe fasi ya kupigana bangumi.
😂😂😂 we dogo una wazimu"Kiswahili ni kiarabu nasi kibantu "
Fafanua msemo huu kwa kutumia riwaya tatu
"Penzi la shangazi dorine ;Mwandishi P.Brain...
"Shangazi utaniua ; Mwandishi Vishu Mtata...
"Mungu si Athumani ; Mwandishi kiranga